Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA WA MZEE MGAYA

Familia ya mzee Richard Azza Mgaya inasikitika kutangaza kifo cha baba yao Mzee Richard Mgaya kilichotokea hospitali ya Apollo - India. Mwili wa marehemu utawasili Kilimanjaro International Airport tarehe 28/05/2015 saa nane mchana, msiba uko nyumbani kwake Arusha no. 59 Themi Hill. Marehemu ataagwa Ijumaa tarehe 29/05/2015 saa 6mchana katika kanisa la waadventista wa sabato Njiro Arusha.Mazishi yatafanyika Jumamosi tarehe 30/05/2015  Mamba Miamba - Same Kilimanjaro.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar

16

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.

17

_1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

CloudsFM

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MSIBA WA MZEE IDRISA KILANGI

Bwana Mfaume Kilangi wa Tuangoma Marela-Kigamboni Jijini Dar es Salaam anasikitika kutanga kifo cha baba yake mzazi MZEE IDRISA KILANGI  (pichani) kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mtoto wa Marehemu, Mfaume Kilangi Marela Tuangoma jirani na Nyumba za NSSF.
Mwili wa marehemu unataraji kusafirishwa kesho asubuhi saa 3:00 kwenda Iringa mjini kwa Mazishi.

Habari ziwafiukie Ndugu Jamaa na Marafiki wote wa Familia ya Mzee Kilangi,...

 

10 years ago

Bongo Movies

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.

Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 

 

11 years ago

GPL

MZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE

NI Wikiendi nyingine ambayo mapaparazi wetu, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba’ Musa Mateja ‘Toz’ na Richard Bukos Mpigapicha Mkuu walijiachia viwanja mbalimbali kuwinda yaliyokuwa yakijiri na kumjuza moja kwa moja mkuu wao, Oscar Ndauka aliyekuwa makao makuu ya gazeti hili yaliyopo Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Msanii mkongwe na mkali wa maigizo na vichekesho, mzee Majuto (mwenye suti nyeupe) akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya kumng'oa...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MSIBA WA MZEE GODFREY MNGODO TANZANIA NA MAREKANI


Tunasikitika kuwaarifu kwamba mwenyekiti wetu wa kwanza wa mfuko Mr Michale Mgodo amepatwa na msiba wa baba yake mzazi Marehemu Godfrey Mngodo (pichani) uliotokea katika hospitali ya Dar Group jijini Dar es salaam juzi. 

Mipango ya mazishi inafanyika 
 nyumbani Tanzania na hapa USA kwa Mr and Mrs Mngodo.
Address yao ni 
549 Wildindingo Run, 
Westerville, 
Ohio 43081. 

Kwa maelezo  Zaidi please wasiliana na Michael Mngodo kwa kupitia number 614 446 5556, Teddy Mngodo 614 772 1591 na mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani