Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya Yanga Kuhusu Wachezaji Wake

Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezaji wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na Azam FC zisiwakatishe tamaa, ni mapenzi ya wachezaj wenyewe kwani walishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na wana ramba ramba.
Yanga tayari ina wachezaji watatu wenye mikataba inayoendelea na kama kanuni za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake  na  Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa  uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake

Katika kikao cha Bunge siku ya jana January 28 Mbunge James Mbatia aliomba mwongozo ndani ya kikao cha Bunge kuhusu ishu iliyojitokeza juzi Dar ambapo Prof. Lipumba na baadhi ya wafuasi walikamatwa na Jeshi la Polisi.Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa majibu ya Serikali kuhusu ishu hiyo; “Mheshimiwa Mbatia jana ametoa malalamiko kuwa katika kadhia hii Polisi wametumia nguvu nyingi kuliko ilivyotakiwa, malalamiko haya ni mazito na Serikali haiwezi kuyafumbia macho, kwa hiyo pamoja na uchunguzi...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU

Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Yanga watahadharisha

SIKU moja baada ya uongozi wa Yanga kulifagia benchi zima la ufundi isipokuwa Meneja, Hafidhi Salehe, wachezaji wa timu hiyo wamekwazwa na kitendo hicho na kudai kinaweza kusababisha wafanye vibaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Pluijm: Wachezaji Yanga wazembe

>Kocha wa Yanga, Hans der  Van Pluijm amesema uzembe wa baadhi ya wachezaji wake unaigharimu timu hiyo katika harakati zake za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu; huku akiwataka washambuliaji wake kubadilika.

 

10 years ago

GPL

Wachezaji Yanga walishwa kiapo

Wachezaji wa Yanga. Na Wilbert Molandi, Bagamoyo
HOFU imetanda kwenye kambi ya Yanga baada ya benchi la ufundi la timu hiyo kufanya kikao kizito na wachezaji wao na kuwalisha kiapo wakihofia hujuma kutoka kwa wapinzani wao, Simba.Hatua hiyo imekuja siku chache kabla ya Yanga kuivaa Simba katika Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga kwa sasa ipo Bagamoyo wakati Simba imejichimbia Zanzibar,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo awatisha wachezaji Yanga

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachezaji walevi Yanga kukiona

Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu amekemea tabia ya baadhi wa wachezaji wa timu yake kuendeleza unywaji pombe na uvutaji wa sigala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani