Wachezaji Yanga walishwa kiapo
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3JCX7BrXlulAg7jcwcw9Igm8WfgJlxVHXwgjxGxmwZ6FnXgvA7Fcj8FH7t1pC*bOFHopTebKXMloToanVDs2Gku/1.jpg)
Wachezaji wa Yanga. Na Wilbert Molandi, Bagamoyo HOFU imetanda kwenye kambi ya Yanga baada ya benchi la ufundi la timu hiyo kufanya kikao kizito na wachezaji wao na kuwalisha kiapo wakihofia hujuma kutoka kwa wapinzani wao, Simba.Hatua hiyo imekuja siku chache kabla ya Yanga kuivaa Simba katika Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga kwa sasa ipo Bagamoyo wakati Simba imejichimbia Zanzibar,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wachezaji Yanga watahadharisha
SIKU moja baada ya uongozi wa Yanga kulifagia benchi zima la ufundi isipokuwa Meneja, Hafidhi Salehe, wachezaji wa timu hiyo wamekwazwa na kitendo hicho na kudai kinaweza kusababisha wafanye vibaya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75p8jdyZcIW07*D1psi6mmIfqBfZIkjXhehcoDJcKJ3KJp2h9nbWcPUxfwOzsvASsXs6wyB9G0luBue*GxIQX117/YANGA1.jpg?width=650)
Yanga yampa Maximo wachezaji 60
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Wachezaji walevi Yanga kukiona
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Pluijm: Wachezaji Yanga wazembe
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Maximo awatisha wachezaji Yanga
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Wachezaji Yanga SC wampa raha Maximo
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema timu yake imezidi kumpa raha kutokana na kiwango cha wachezaji kuzidi kuimarika kila siku kutokana na utayari wa wachezaji wa...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Wachezaji wa kimataifa wa Yanga waanza mazoezi
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Tambo zatawala wachezaji wa Simba, Yanga