Taasisi 10 kitanzini, zakabidhiwa Takukuru
Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imeikabidhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) majina 10 ya taasisi na halmashauri ambazo zimeonekana kuwa na viashiria vya rushwa katika matumizi ya fedha za Serikali mwaka 2013/14.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UDvljxFyu9s/XnMBIC7kDOI/AAAAAAALkYc/TURKrI9kTe0w4wNJHUrJYyILo13Xe0qBACLcBGAsYHQ/s72-c/00c296e7-0f97-4761-8d7e-8699134f2163.jpg)
TAKUKURU KAGERA WALIVYOFANIKISHA KUREJESHA FEDHA ZA WASTAAFU KUTOKA TAASISI YA MIKOPO .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hapa Nchini TAKUKURU Mkoa wa Kagera inaendelea kuchunguza na kubaini Taasisi za kifedha ambazo zinajihusisha na Utoaji wa Mikopo kwa Riba kubwa tofauti na mikataba husika, huku Wananchi wakisahuriwa kukopa Fedha Benki ambazo riba zao ni nafuu.
Ushauri huo uliotolewa na Kaimu Mkuu wa Takukuru,Mkoa wa Kagera,Ndg Hassan W.Mossi ammbae amewataka wananchi na wastaafu kuwa makini pindi wanapokopa kwa kampuni za ukopeshaji, ...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Hospitali zakabidhiwa vifaa tiba
TAASISI ya Mapafu imekabidhi vifaa tiba kwa hospitali za mikoa mitatu vitakavyosaidia kupunguza vifo vya watoto pindi wanapozaliwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
11 years ago
GPLPIKIPIKI ZA MAWAKALA ZAKABIDHIWA GLOBAL LEO
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Klabu ligi kuu zakabidhiwa vifaa
KLABU zinazoshiriki Ligi Kuu soka Tanzania Bara, zimekabidhiwa vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 490 kutoka Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa jana jijini Dar es Salaam kwa wawakilishi wa timu 16 na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twissa.
Alizungumza wakati wa hafla hiyo, Twissa alisema wameigia mkataba wa kudhamini ligi hiyo kwa miaka mitatu baada ya ule wa awali kumalizika na kuwataka wadhamini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7yCiC-I--Mw/Xsf1yPLVVQI/AAAAAAALrT4/raqA9H2oQ6wLqHzvgGdj7ixHxV7rLemsACLcBGAsYHQ/s72-c/2a1a2fb5-2960-434f-88e3-2419babdface.jpg)
PIKIPIKI ZA JPM ZAKABIDHIWA KWA MAAFISA TARAFA KAGERA.
Na Abdullatif Yunus MichuziTV.
Pikipiki 27 zilizonunuliwa na Rais John Pombe Magufuli kwa ajili ya kuwasaidia Maafisa Tarafa kote Nchini, kutimiza majukumu yao zimeendelea kukabidhiwa kwa Walengwa ambapo kwa Mkoa wa Kagera Pikipiki hizo zimekabidhiwa rasmi na Mkuu wa Mkoa Brigedia Marco E. Gaguti mapema Mei 22, 2020.
Pikipiki hizo zipatazo 27, aina ya SANLG zenye thamani ya Jumla Shilingi 59,913,000/= tayari zimegawiwa katika Wilaya Nane zinazounda Mkoa Kagera, na Idadi yake kama...
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Gwajima kitanzini
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kupeleka nyaraka 10 za mali anazomiliki.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwanasheria wa Askofu Gwajima, John Mallya, alisema anatakiwa kuzipeleka nyaraka hizo kituoni hapo Aprili 16 mwaka huu.
Mallya alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya mteja wake kuhojiwa na polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kumtolea maneno ya kashfa...
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Majaji wa Escrow kitanzini
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TUME ya Utumishi wa Mahakama imesema suala la majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanaotuhumiwa kupokea zaidi ya Sh milioni 400 kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limefika kwenye tume hiyo na linafanyiwa kazi.
Kwa utaratibu wa tume hiyo, baada ya uchunguzi taarifa hupelekwa kwa rais ambaye baada ya kupitia mapendekezo yaliyotolewa kwenye ripoti ya uchunguzi, hutoa uamuzi.
Hayo yalielezwa jana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Hussein Katanga, katika banda la Tume...
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mawaziri watatu kitanzini
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza ni nini ambacho mawaziri wapya wataweza kufanya kwa muda wa miezi tisa iliyobaki.
Pamoja na kuwa na muda mfupi, bado kuna mambo kadhaa ambayo huenda ikawa ni ‘kitanzi’ kwa mawaziri hao kabla ya nchi kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu.
Changamoto kubwa ni fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hasa baada ya nchi wahisani kugoma kutoa fedha kwa...
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Watumishi mafisadi kitanzini
Serikali yaibuka na mwongozo mpya Tume ya Maadili yapewa meno makali
NA WILLIAM SHECHAMBO
SERIKALI imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo sasa.
Kwa sasa sheria na...