Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Klabu ligi kuu zakabidhiwa vifaa

KLABU zinazoshiriki Ligi Kuu soka Tanzania Bara, zimekabidhiwa vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 490 kutoka Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa jana  jijini Dar es Salaam kwa wawakilishi wa timu 16 na Mkuu wa Kitengo cha Masoko  na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twissa.

Alizungumza wakati wa hafla hiyo, Twissa alisema wameigia mkataba wa kudhamini ligi hiyo kwa miaka mitatu baada ya ule wa awali kumalizika  na kuwataka wadhamini...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Klabu Ligi Kuu kuvuna Sh180M

Klabu 14 zitakazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara zitavuna Sh 180 Milioni kwa mwaka kutoka kwa wadhamini mbalimbali wa ligi hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Klabu Ligi Kuu zabanwa mikataba ya wachezaji

KLABU za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zinatakiwa kuwasilisha mikataba ya wachezaji wake kwa ajili ya kuidhinishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota wa Ligi Kuu wanaojuta kuhama klabu zao

Hakuna binadamu yeyote duniani asiyependa kufanikiwa katika jambo lolote analolifanya ingawa wakati mwingine bahati mbaya hutokea, mtu kushindwa kufanya vyema katika kile alichokipanga.

 

9 years ago

Mwananchi

Klabu za Ligi Kuu ziamke, zisake wadhamini wengine

Wiki iliyopita, wadhamini wa Ligi Kuu, Kampuni ya simu za mkononi, Vodacom walitangaza dau ambalo timu zinazoshiriki Ligi Kuu zitapata msimu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara

>Mbeya City, Prisons na Stand United ndizo timu pekee ambazo hazina mchezaji yeyote aliyewahi kucheza Yanga au Simba katika vikosi vyao msimu huu.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU TANZANIA BARA : Kimbembe cha kodi kutikisa klabu

Kwa miaka mingi sasa, klabu mbalimbali za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza zimekuwa zikikwepa kwa makusudi kulipa kodi kinyume na utaratibu kwa mujibu wa sheria za Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yamwaga vifaa Ligi Kuu Bara 

WADHAMINI wa Ligi Kuu Tanzania bara, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, jana iligawa vifaa kwa timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo itakayoanza Septemba 20, vyoye vikiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali zakabidhiwa vifaa tiba

 TAASISI ya Mapafu imekabidhi vifaa tiba kwa hospitali za mikoa mitatu vitakavyosaidia kupunguza vifo vya watoto pindi wanapozaliwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YAMWAGA VIFAA VYA TIMU 14 ZA LIGI KUU

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom. kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni.Kutoka kushoto: Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Silas Mwakibinga,Mwakilishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani