Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tabia nchi: Mapendekezo 2 yatolewa Ufaransa

Rais wa Ufaransa, ameidhinisha makubaliano kinzani yaliyoafikiwa na wapatanishi wa kimataifa, ili kukabiliana na ongezeko na mabadiliko ya tabia nchi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Forum CC yakabidhi mapendekezo ya Asasi za kiraia kwa Ofisi ya Makamu wa Rais kuelekea mkutano wa kimataifa wa Tabia Nchi

IMG_6881

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Binilith Sanato Mhenge (kusshoto) akipokea mapendekezo ya asasi za kiraia kuelekea mkutano wa kimataifa wa Tabia Nchi kutoka kwa mwenyekiti wa bodi wa Forum CC Euster Kibona ofisini kwake jijini Dar es salaam.

IMG_6880

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Naibu wake Ummy Ali Mwalimu wakimsikiliza Meneja mwezeshaji wa Taasisi ya Forum CC Rebeca Muna wakati wakipokea mapendekezo ya asasi za kiraia kuelekea mkutano wa kimataifa wa Tabia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Mahenge azindua tovuti ya mabadliko ya tabia nchi.

Mheshimiwa      Eng  Dkt. Binirithi S.  Mahenge  (mbunge)  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa  Rais (mazingira) azindua tovuti ya mabadiliko ya tabia  nchi. Katika hotuba yake fupi ya uzinduzi wa tovuti hiyo, aliyoandaliwa kwa ufadhili wa serikali ya Denmark Mh. Binirithi  Mhenge amesema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi huangaliwa kwa muda wa miaka 30 hivyo kwa kipindi hiki chote kumekuwa na madhara mengi yatokanayo na athari za mabadiliko ya tabia Nchi ikiwa ongezeko la joto, kina cha bahari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakileta madhara duniani ,nchini Tanzanian mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kwa uuma

 

9 years ago

BBCSwahili

Tabia nchi yaunganisha mataifa

Umoja wa ulaya na mataifa 79 ya Afrika, eneo la Pacific na Caribbean wameungana ili kufikia muafaka wa mazungumzo ya Paris.

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko tabia nchi tishio Zanzibar

MABADILIKO ya tabia nchi yameathiri visiwa vya Zanzibar na kutishia ustawi wa kilimo hususani cha mpunga.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa tabia nchi waafikiwa Paris

Hatimaye mkataba umeafikiwa juu ya mabadiliko ya tabianchi na mataifa karibu 200 katika mkutano uliokuwa ukiendelea Paris kwa majuma mawili

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya tabia ya nchi kupata Dawa?

Rais wa Marekani, Barack Obama amezindua kile alichokiita hatua muhimu zaidi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani