Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TABIA NCHI YAWEKA HIFADHI ZA TANZANIA HATARINI

Mwanahabari na blogger wa mtandao wa modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katika geti kuu la kuingilia katika ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa zilizopo eneo la Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro, Tanzania. Alipokuwa katika habari za Utafiti jinsi ya Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri mbuga na hifadhi za Taifa nchini (How Climate Change Effect The National Parks in Tanznia) hivi karibuni. Eneo la kuingia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TABIANCHI YAWEKA HIFADHI ZA TANZANIA HATARINI

UD ONEMwanahabari na blogger wa mtandao wa modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katika geti kuu la kuingilia katika ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa zilizopo eneo la Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro, Tanzania. Alipokuwa katika habari za Utafiti jinsi ya Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri mbuga na hifadhi za Taifa nchini (How Climate Change Effect The National Parks in Tanznia) hivi karibuni (Picha na modewjiblog)udzungwa1Eneo la kuingia katika Hifadhi na makao makuu ya hifadhi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

TABIANCHI (CLIMATE CHANGE):Yaweka Hifadhi za Tanzania Hatarini kutoweka

UD ONEMwanahabari na blogger wa mtandao wa modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katika geti  kuu la kuingilia katika ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa zilizopo eneo la Mang’ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro, Tanzania. Alipokuwa katika habari za Utafiti jinsi  ya Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri mbuga na hifadhi za Taifa nchini (How  Climate Change Effect The National Parks in Tanznia) hivi karibuni (Picha na modewjiblog).

TABIANCHI YAWEKA HIFADHI ZA TANZANIA HATARINI

Na Andrew...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakileta madhara duniani ,nchini Tanzanian mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kwa uuma

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva pamoja na Balozi wa Tanzania anaetuwakilisha nchini Uswiss na Vienna. Mh Modest Mero. 

 

10 years ago

Habarileo

Hifadhi ya Ngorongoro sasa hatarini kutoweka

Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Mahmoud MgimwaHIFADHI ya Taifa ya Ngorongoro imetajwa kuwa ipo hatarini kutoweka, kutokana na mwingiliano wa watu kuwa mkubwa huku idara nyingi zikiongozwa na watu wasiostahili kuongoza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Mahenge azindua tovuti ya mabadliko ya tabia nchi.

Mheshimiwa      Eng  Dkt. Binirithi S.  Mahenge  (mbunge)  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa  Rais (mazingira) azindua tovuti ya mabadiliko ya tabia  nchi. Katika hotuba yake fupi ya uzinduzi wa tovuti hiyo, aliyoandaliwa kwa ufadhili wa serikali ya Denmark Mh. Binirithi  Mhenge amesema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi huangaliwa kwa muda wa miaka 30 hivyo kwa kipindi hiki chote kumekuwa na madhara mengi yatokanayo na athari za mabadiliko ya tabia Nchi ikiwa ongezeko la joto, kina cha bahari...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tabia nchi yaunganisha mataifa

Umoja wa ulaya na mataifa 79 ya Afrika, eneo la Pacific na Caribbean wameungana ili kufikia muafaka wa mazungumzo ya Paris.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani