Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tabora Wanufaika na Mafunzo ya ULINGO — Tanzania Women Crossparty Platform (TWCP)

ULINGO WA WANAWAKE WANASIASA – Tanzania Women Crossparty Platform (TWCP) ni shirika lisilo la kiserikali lililoendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo watia nia wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu katika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa nchi ikiwa ni kuchangia kutoa elimu inayolenga kuleta usawa kama haki msingi ya Mtanzania. Mafunzo hayo yamedhaminiwa na UNWomen.Mafunzo hayo yamewanufaisha walengwa husika kwa kujipatia elimu hiyo huku wawezeshaji wakiwa ni Hilda Stuart Dadu na Emmiliana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Mbowe to women: Joining politics will give you a platform

>The chairman of the leading opposition party Chadema, Mr Freeman Mbowe, has advised women in the country to join competitive politics if they want their voices to be counted in decision-making.

 

9 years ago

Michuzi

Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.
Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika ukumbi...

 

5 years ago

Michuzi

WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU 3,200 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA VITENDO SEHEMU ZA KAZI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waajiri na Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mafunzo wanayopatiwa vijana hao na waajiri, Mkoani Iringa.

Sehemu ya Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akutana na Viongozi wa Mtandao wa Ulingo Tanzania (Umoja wa Wanawake Wanasiasa)

03

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Wanawake wanaounda Umoja wa Wanawake Wanasiasa kutoka Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania walio katika Mtandao wa Ulingo, wakati alipokutana nao katika kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam, Nov 26, 2015. (Picha na OMR).

02

3A

Baadhi ya Wanawake Wanaulingo wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAFUNZO YA NYUKI TABORA KUPANDISHWA HADHI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu (katikati mbele) akiwa na wahadhiri na wahitimu katika mahafali ya 3 ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki yaliyofanyika mjini Tabora chuoni hapo.Na Allan Ntana, TaboraSERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki kilichoko mkoani Tabora ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga na chuo hicho. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 3 ya...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yawezesha mafunzo kwa wafanyakazi wa Afya kijiji cha Mbola Tabora

Wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora wakijaribu namna ya kutumia simu zao mara baada ya mafunzo ambapo Airtel inawawezesha kutumia simu zao kutoa huduma za Afya chini ya mradi wa millennium village. Akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora namna ya kutumia huduma ya mawasiliao ya simu kutoa huduma za kiafya Ambapo Airtel imewapatia wafanyakazi hao huduma ya internet , message na simu bure na kuwawezesha kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wakaskazini wanufaika na Gulio la Vodacom Tanzania

 Afisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha  Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo  wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano   lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika uwanja wa Sheakh  Amri Abeid jijini Arusha. Afisa huduma kwa wateja wa Duka la  Vodacom jijini Arusha,Samya Ulimwengu  akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda lao   kujipatia huduma za mawasiliano ambazo...

 

10 years ago

Siliconrepublic.Com

Camara develops online education platform for 250 schools in Tanzania


Siliconrepublic.com
Camara develops online education platform for 250 schools in Tanzania
Siliconrepublic.com
Camara Education, an international charity that uses technology to deliver 21st-century skills, has developed an online interactive learning platform known as iKnowledge for teachers in 250 schools across Tanzania. For some time now the charity has been ...
UK Space Agency Appoints Avanti...Takes iKnowledge To 250 Rural Schools In ...SatNews Publishers

all 3

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani