Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TACAIDS yakutana na wanahabari jijini dar

Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS Bw. Godlease Malisa akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika banda la TACAIDS kwenye viwanja vya Sabasaba jana Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Dr. Jerome Kamwela. Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Dr. Jerome Kamwela akifafanua jambo wakati wa mkutano na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WANAHABARI KUTATHIMINI JIJINI DAR LEO

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imekuwa ikikutana na wanahabari katika kuandaa utabiri wa msimu ili kupata michango yao na kuifanyia kazi kadri inavyowezekana kwa lengo la kuhakikisha taarifa sahihi zinatolewa kwa wakati muafaka.
Baada ya kukutana na wanahabari hao katika warsha zaidi ya tatu ikiwemo ile ya lugha itumikayo katika kutoa utabiri wa msimu, TMA imeona ni wakati muafaka sasa kwa Mamlaka kuweza kupata mrejesho ili kuweza kuboresha ushirikiano wake na vyombo vya habari...

 

9 years ago

Michuzi

PPF YAKUTANA NA WAFANYAKAZI WA NOKIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpango wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi.

 Elihuruma (kushoto) na mtaalamu wa mifumo ya comuter wa PPF, (Kulia), wakiangalia jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyopata taarifa za michangu yao kupitia simu zao.Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (kulia), akimkabidhi...

 

9 years ago

Michuzi

HUAWEI TANZANIA YAKUTANA NA WADAU WA HABARI JIJINI DAR

Mkuu wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Huawei, Jimmy Jin akizungumza na waandishi wa habari wa Tanzania na China wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika Makao makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki wenye malengo ya kuweka mahusiano mazuri na kati ya waandishi wa habari na Kampuni hiyo.
 Kampuni ya Huawei Tanzania leo hii imewakaribisha waandishi wa habari mbalimbali jijini Dar Es Salaam kupata chai ya asubuhi pamoja na mkutano mfupi kuelezea...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yakutana na wachezaji wa timu ya Yanga jijini Dar leo

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF, Crescentius Magori amewaambia wachezaji hao kuwa "kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari" huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo, Novemba 02,2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili kwa kina mapendekezo ya wana CCM walioomba ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo la Handeni mjini.
 Kamati Kuu imetengua mapendekezo ya awali na kuagiza kurejewa kwa mchakato wa kura za maoni kwa wana -CCM wawili...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wahariri hao.Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri, Dar es Salaam jana.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA JIJINI DAR LEO.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Damian Lubuva akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte,Jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Julius Malaba na kulia ni Kamishina wa Tume yaTaifa ya Uchaguzi,Prof. Amon ChallighaSehemu ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhulia Mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Damian Lubuva (hayupo...

 

10 years ago

Michuzi

Menejiment ya NBC yakutana na Rais Kikwete Ikulu jijini dar leo

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni. Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiwa na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa Mizinga Melu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani