Tacceo yaibua dosari 1,000 za kampeni
Mtandao wa Asasi za Kiraia wa Kuangalia Uchaguzi Tanzania (Tacceo), umesema umebaini kuwapo kwa dosari 1,122 kwenye kampeni za vyama vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona
9 years ago
TheCitizen28 Oct
NEC results lack transparency:TACCEO
9 years ago
Dewji Blog01 Nov
TACCEO yalaani kukamatwa waangalizi wa uchaguzi
10 years ago
Habarileo20 Feb
160 Tacceo kuangalia uandikishaji BVR
MTANDAO wa Asasi za Kiraia wa Kuangalia Chaguzi Tanzania (Tacceo) unatarajia kutuma waangalizi 160 katika wilaya zote nchini ambao wataangalia uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia Mfumo mpya wa Teknolojia ya Alama (Biometric Voters Registration- BVR).
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Uamuzi wa Tacceo utarudisha nyuma demokrasia nchini
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.
Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Mtandao wa TACCEO walaani polisi kuvamia kituo chao
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Dec
DOSARI SERIKALI ZA MITAA
Wakurugenzi sita wafukuzwa kazi
Wabainika kuzembea na kuvuruga uchaguziGhasia: Serikali ilitimiza wajibu wake, sijiuzuluCHADEMA yazidi kuweweseka na matokeo
WALIOTIMULIWA KAZI
Benjamin Majoya- Mkuranga
Abdalla Ngodu- Kaliua
Masalu Mayaya- Kasulu
Goody Pamba- Serengeti
Juliua Madiga -Sengerema
Simon Mayeye- Bunda
WALIOSIMAMISHWA KAZI
Felix Mabula- Hanang
Fortunatus Fwema- Mbulu
Isabella Chilumba- Ulanga
Pendo Malabeja- Kwimba
William Shimwela- Sumbawanga
WALIOPEWA ONYO
Mohamed Maje- Rombo
Hamis Yuna...