Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taifa Stars yaikamia Msumbiji

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij na wachezaji wake wameahidi ushindi wa kishindo kesho dhidi ya  Msumbiji huku wakiwataka Watanzania kufika kwa wingi uwanjani kutoa sapoti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI

 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 
Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni tiketi za elektroniki Stars vs Msumbiji

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mashabiki watakaotaka kuliona pambano baina ya timu ya taifa, Taifa Stars na Msumbiji ‘Mambaz’, watalazimika kununua tiketi za kielektroniki kupitia Kampuni ya Max...

 

11 years ago

GPL

STARS WAJIFUA KUWAVAA MSUMBIJI

Kikosi cha Taifa Stars kikifanya mazoezi kwenye Viwanja vya Gymkhan jijini Dar es Salaam jana jioni kujiandaa na mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Msumbuji. Kocha msaidizi wa Stars, Patrick Mwangata (kulia)…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars kutua Msumbiji leo

MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars unatarajiwa kuondoka leo jioni Afrika Kusini kwenda Msumbiji tayari kwa mechi ya keshokutwa kuwania tiketi ya kuingia kundi F, kupigania nafasi...

 

11 years ago

GPL

NOOIJ ATANGAZA KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA MSUMBIJI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Martinus Ignatius "Mart" Nooij akitangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaoivaa timu ya Taifa ya Msumbiji ‘Mambas’.
Wachezaji wa Stars wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi Mwinyi Kazimoto (kulia) wa Al Markhiya ya Qatar na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe ya DR Congo wakimsikiliza kocha Nooij akitaja kikosi. Na Mohammed Mdose
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani