Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru wavamia, wasimamisha usaili Simba


Na Waandishi Wetu
MAMBO yamekuwa mambo, uchaguzi mkuu wa Klabu ya Simba unaotarajiwa kufanyika Juni 29, umeingia katika mtikisiko, kubwa ni baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kuingilia kati na kukomba nyaraka za wagombea na namba za simu.
Wakati hayo yakitokea upande wa pili ni kuwa aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura amewasilisha rufaa yake kwa Shirikisho...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba Mlele wavamia vijiji, wala mifugo

NG’OMBE 11 na mbuzi wanne wameuwa kisha kuliwa na simba katika matukio matatu tofauti yaliyotokea kwenye Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele mkoa wa Katavi baada ya simba watano kuvamia vijiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Takukuru sasa yatinga Simba

>Usaili wa wagombea uongozi wa Simba, ulichukua sura mpya baada ya jana maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kuchukua vyeti vyote vya wagombea na barua tatu za Michael Wambura  alizokuwa ameziwasilisha katika Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo kama vielelezo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanavijiji wasimamisha msafara wa Kinana


MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  juzi ulilazimika kusimama kwa dakika kadhaa baada ya wakazi wa baadhi ya vijiji vya Jimbo la Chemba, kuusimamisha.
Kusimama kwa msafara huo kulitokana na wakazi wa vijiji hivyo kusimama barabarani wakiwa na mabango yanayoelezea kilio cha kukosekana kwa maji.
Msafara huo wa Kinana ulikumbana na kadhia hiyo, ulipofika
katika vijiji vya Songoro, Goima, Itolwa, Mrijo na Jenjelusi, maeneo ambayo wananchi wake wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la maji...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA SULUHU AWASILI KIGOMA, WANANCHI WASIMAMISHA SHUGHULI KUMLAKI

Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan Kata ya Igagala, Uvinza Mkoani Kigoma wakimtaka awasalimie kabla ya kuendelea na safari. Mgombea mwenza huyo wa CCM ameingia mkoani Kigoma kwa ziara ya kampeni kuinadi ilani ya CCM.
Baadhi ya Wananchi wakiwa wamesimama pemezoni mwa barabara kumlaki mgombea mwenza wa urais CCM alipokuwa akiwasili Mkoani Kigoma kufanya mikutano yake ya kampeni.Mgombea mwenza akizungumza na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Mkazi wa eneo la Matumbi akipiga kura yake leo. Mkazi wa Kawe akipiga kura yake leo.

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam

WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mtanzania

Usaili BSS mikoa minne

Madam-RitaNA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MSIMU wa tisa wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba, maarufu kama ‘Bongo Star Search’ unatarajia kuanza rasmi mwezi ujao, ambapo kwa mwaka huu usaili utafanyika katika mikoa minne tu.
Akizungumza jijini jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano hilo, Rita Paulsen, alisema mwaka huu watafanya usaili katika mikoa minne, baada ya kufanya uchunguzi na kugundua washiriki wanajirudia katika mikoa yote.
“Mwaka huu usaili tutaufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya kufaulu usaili wa kazi- 2

Wiki iliyopita tulijifunza baadhi ya mbinu zinazoweza kumsaidia mtu anayetafuta ajira pindi anapojiandaa na usaili wa kazi.

 

11 years ago

Habarileo

Usaili Uhamiaji ngoma nzito

MCHAKATO wa usaili kwa ajili ya kujaza nafasi za Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji zinazohitajika, unaendelea licha ya waombaji 4,834 kuchujwa katika awamu ya kwanza. Kati ya waombaji 6,116 waliofanyiwa usaili hivi karibuni jijini Dar es Salaam, waombaji 1,281 ndiyo wamebaki wakisubiri duru ya mwisho ya usaili, wabaki 70 watakaojaza nafasi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani