Simba Mlele wavamia vijiji, wala mifugo
NG’OMBE 11 na mbuzi wanne wameuwa kisha kuliwa na simba katika matukio matatu tofauti yaliyotokea kwenye Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele mkoa wa Katavi baada ya simba watano kuvamia vijiji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNzBJftkAk51FN92G8Sg7UDaVOls6-8mWMHNPH9Vll3YLYvBpY04KZVa0ZgF6bRT75E37bahOzIrdWyzcLk*6X4U/SIMBA.jpg?width=650)
Takukuru wavamia, wasimamisha usaili Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf1bPR6qUl1fTu*ZvhkWMvtR8w0jQ5bMWsLB8JnAA5rtJPm0ywFAVlpRfYNYsfVUCtHUQGOW4rZuXWWYfFnAPLjl/1EzekielKamwaga.jpg?width=650)
KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Pinda akutana na wananchi wa Mlele
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifafanua jambo kwa kutumia kompyuta ndogo (Ipad) wakati alipozungumza na wanafamilia wa Mzee Katinda wa kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake Kibaoni, Katavi julai 22, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Mke wa Waziri Mama Tunu Pinda akiwaonyesha picha mbalimbali alizopiga vijana wa kabila la Kisukuma aliokutana nao nyumbani kwa Mzee Katinda katika kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele ambako yeye na Waziri...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WR_yoC4qSBU/VJ1pNdYO--I/AAAAAAAG56s/zOSYtGsKlUU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
PINDA AZUNGUMZA NA VIJANA WA MLELE
![](http://1.bp.blogspot.com/-WR_yoC4qSBU/VJ1pNdYO--I/AAAAAAAG56s/zOSYtGsKlUU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Habarileo04 Dec
Mlele waringia kutimiza agizo la maabara
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiri kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata nchini, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imebainisha kutekeleza agizo hilo kwa kiwango cha juu.
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKIWA WILAYANI MLELE
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l9I43e1UOWM/Xp190ar0HoI/AAAAAAALneA/h5m2hDEElagVotkgO2vl1KFATyGsAzk4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200416_124013_344.jpg)
MLELE YATANGAZA UTARATIBU WA KUNUNUA MAZAO
Katavi
WILAYA ya Mlele mkoani Katavi yenye Halmashauri mbili za wilaya, imetenga vituo 80 vya kununulia mazao mbalimbali katika msimu wa 2020 huku wilaya hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kuingia katika mfumo rasmi wa stakabadhi gharani.
Kati ya hivyo,Halmashauri ya Mpimbwe imetenga vituo 49 na Halmashauri ya wilaya Mlele imetenga vituo 31 huku wafanya biashara wakionywa kujiepusha kununua mazao kwa kutumia vipimo haramu.
Mkuu wa wilaya hiyo Rachel Kassanda amesema...