Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlele waringia kutimiza agizo la maabara

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiri kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata nchini, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imebainisha kutekeleza agizo hilo kwa kiwango cha juu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dar yatekeleza agizo la maabara za JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiria kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari, kwa mujibu wa agizo lake kwa kila halmashauri za wilaya na manispaa nchini, manispaa za Dar es Salaam zimebainisha kuwa zinaendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa agizo hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbatia akosoa agizo ujenzi maabara

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema agizo la ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari nchini,halikufuata taratibu na ndiyo sababu Serikali kuu na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) wanarushiana mpira juu ya agizo hilo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa

DSC01906

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC01907

DSC01910

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AZUNGUMZA NA VIJANA WA MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na vijana kutoka kata za Kibaoni na Usevya wilayani Mlele mkoani  Katavi waliomtembelea nyumbani kwake Kibaoni  leo akiwa kwenye mapumziko na Krismas na Mwaka mpya. Katikati  mwenye miwani ni Mzee Chrisant MzindakayaPicha na PMO

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wananchi wa Mlele

IMGL6981 2

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akifafanua jambo kwa kutumia  kompyuta ndogo (Ipad) wakati alipozungumza  na wanafamilia wa Mzee Katinda wa kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake  Kibaoni, Katavi julai 22, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL6966

Mke wa Waziri Mama Tunu Pinda  akiwaonyesha picha mbalimbali alizopiga vijana wa kabila la Kisukuma aliokutana nao nyumbani kwa Mzee  Katinda katika kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele  ambako yeye na Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

MLELE YATANGAZA UTARATIBU WA KUNUNUA MAZAO

 Na Mwandishi wetu
Katavi
WILAYA ya Mlele mkoani Katavi  yenye Halmashauri mbili za wilaya, imetenga  vituo 80 vya kununulia mazao mbalimbali katika msimu wa 2020  huku wilaya hiyo ikiwa ni mara ya kwanza  kuingia katika mfumo  rasmi wa stakabadhi gharani.
Kati  ya hivyo,Halmashauri ya Mpimbwe imetenga vituo 49 na Halmashauri ya wilaya Mlele imetenga vituo 31 huku wafanya biashara wakionywa kujiepusha kununua mazao  kwa  kutumia vipimo haramu.
Mkuu wa wilaya hiyo Rachel  Kassanda amesema...

 

11 years ago

Daily News

Mlele accident claims Catholic priest, passenger


Mlele accident claims Catholic priest, passenger
Daily News
FATHER Martin Kapufi of the Roman Catholic Church in Mpanda Diocese was among two people who died on the spot after the vehicle they were travelling in veered off the road and overturned at Kamsisi Village along the Inyonga- Tabora highway.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani