Dar yatekeleza agizo la maabara za JK
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiria kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari, kwa mujibu wa agizo lake kwa kila halmashauri za wilaya na manispaa nchini, manispaa za Dar es Salaam zimebainisha kuwa zinaendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa agizo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziHIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS JK
9 years ago
Vijimambo07 Sep
NHIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/138.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/419.jpg)
![6](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/614.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/228.jpg)
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Mbatia akosoa agizo ujenzi maabara
10 years ago
Habarileo04 Dec
Mlele waringia kutimiza agizo la maabara
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiri kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata nchini, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imebainisha kutekeleza agizo hilo kwa kiwango cha juu.
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).
11 years ago
Mwananchi11 Apr
Sumatra yakazia agizo la RC Dar
10 years ago
Habarileo18 May
RC Dar atekeleza agizo la Rais Kikwete
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki kwa kushirikiana na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete la kuondoa maji katika makazi ya watu kwenye maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo yaliyosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini hivi karibuni.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iGAR8RuFNGk/Xp2lffrd5SI/AAAAAAALnks/a1cE6yjUMGsoUYp17YUw7oZs1Xfx50n_ACLcBGAsYHQ/s72-c/_111403692_gettyimages-1202165355.jpg)
WANANCHI DAR WAITIKIA AGIZO LA MAKONDA...BARAKOA KILA MAHALI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wameitikia mwito wa Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda wa kuvaa barakoa kama hatua mojawapo ya kukabiliana na virusi vya Corona.
Juzi Makonda alitangaza kwamba kuanzia Jumatatu (leo) wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam watatakiwa kuvaa barakoa na kwamba kwa wale ambao watakaidi hatua za kisheria zitachukuliwa.Hata hivyo asilimia kubwa ya wananchi wameitikia mwito huo kwani kila kona ya Jiji hilo wamevaa barakoa.
Michuzi TV na Michuzi Blog...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara