Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra yakazia agizo la RC Dar

>Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeunga mkono hatua inayochukuliwa na Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam ya kutoruhusu waendesha pikipiki ‘bodaboda’ na pikipiki za magurudumu matatu kufika maeneo ya katikati ya jiji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dar yatekeleza agizo la maabara za JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiria kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari, kwa mujibu wa agizo lake kwa kila halmashauri za wilaya na manispaa nchini, manispaa za Dar es Salaam zimebainisha kuwa zinaendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa agizo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

RC Dar atekeleza agizo la Rais Kikwete

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki kwa kushirikiana na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete la kuondoa maji katika makazi ya watu kwenye maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo yaliyosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini hivi karibuni.

 

9 years ago

Habarileo

Sumatra yaongeza mabasi Dar-Arusha

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeanza kutoa leseni za muda mfupi kwa kuongeza idadi ya mabasi katika njia ya Dar es Salaam hadi Arusha.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI DAR WAITIKIA AGIZO LA MAKONDA...BARAKOA KILA MAHALI


Na Said Mwishehe, Michuzi TV.

WAKAZI wa Jiji la Dar es  Salaam wameitikia mwito wa Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda wa kuvaa barakoa kama hatua mojawapo ya kukabiliana na virusi vya Corona.

Juzi Makonda alitangaza kwamba kuanzia Jumatatu (leo) wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam watatakiwa kuvaa barakoa na kwamba kwa wale ambao watakaidi hatua za kisheria zitachukuliwa.Hata hivyo asilimia kubwa ya wananchi wameitikia mwito huo kwani kila kona ya Jiji hilo wamevaa barakoa.

Michuzi TV na Michuzi Blog...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA NIT JIJINI DAR

Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri  akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) wakati alipotembelea banda la SUMATRA katika maonesho ya kuazimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa chupo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) kwenye viwanja vya chuo hicho jana. Kushoto ni Afisa wa Baraza hilo la Sumatra, Doatha Kabyemela.Naibu Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Monica Mwamunyange...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agizo la wizara litekelezwe

HIVI karibuni gazeti hili liliandika taarifa kuhusu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kubatilisha na kufuta ramani ya upimaji wa viwanja namba E’320/331 yenye usajili namba 72328 eneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agizo la JK lataabisha wananchi

AGIZO la Rais Jakaya Kikwete kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini, kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara ifikapo Novemba mwaka huu, limegeuka neema kwa baadhi ya watendaji wasio waadilifu kutumia nafasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Agizo la JK Buguruni ‘kizungumkuti’

Zikiwa zimefikia siku 130 tangu Rais Jakaya Kikwete alipotembelea waathirika wa mafuriko eneo la Buguruni kwa Mnyamani ambako aliagiza kuvunjwa kwa nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa maeneo hayo, agizo hilo bado halijatekelezwa ipasavyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani