Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agizo la JK Buguruni ‘kizungumkuti’

Zikiwa zimefikia siku 130 tangu Rais Jakaya Kikwete alipotembelea waathirika wa mafuriko eneo la Buguruni kwa Mnyamani ambako aliagiza kuvunjwa kwa nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa maeneo hayo, agizo hilo bado halijatekelezwa ipasavyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kizungumkuti

Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitishwa kwa Katiba Inayopendekezwa ambayo wiki iliyopita ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Buguruni wahofia magonjwa ya mlipuko

>Wakazi wa Mtaa wa Buguruni Kisiwani, wamesema afya zao ziko hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na mabwawa ya majitaka ya Sukita kufurika kinyesi kinachotiririka mitaani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK akumbushwa ahadi soko la Buguruni

MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Malapa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, Shehe Shuhuli, amemuomba Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi yake ya kuwajengea wafanyabiashara wa Buguruni soko  jipya. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Takwimu za Rasimu ‘kizungumkuti’

Bunge Maalumu la Katiba limezidi kuweweseka na takwimu zilizotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta kuwatangazia wajumbe kusoma uchambuzi wa takwimu hizo uliofanywa na mjumbe mwenzao, Profesa Remmy Assey.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow bado kizungumkuti

Hali bado ni tete kwa mawaziri wakati Rais Jakaya Kikwete akiwasiliana na viongozi waandamizi kabla ya kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri baada ya kuwa na vikao kadhaa jana na vigogo katika kile kinachoonekana kupata ushauri.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgomo wa mabasi kizungumkuti

Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imetawala mpango wa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani kufanya mgomo wa wiki moja kuanzia leo, kutokana na baadhi kutokatisha tiketi za safari za leo na wengine kukatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete: Serikali 3 kizungumkuti

RAIS Jakaya Kikwete amesema muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Marekebisho ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba hautekelezeki na kusema kero za Muungano zinaweza kutatulika kwa kuendelea na serikali mbili.

 

9 years ago

Mtanzania

Tiketi Ubungo kizungumkuti

xmassNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

ABIRIA waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT).

MTANZANIA lilishuhudia abiria hao wakiwa kwenye foleni wakisubiri kukata tiketi katika mabasi ya Kampuni ya Meridian yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Rombo mkoani Kilimanjaro.

Katika tukio hilo, baadhi ya abiria walivuruga utaratibu wa foleni kwa kuwavuka wenzao na kujisogeza...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba kizungumkuti

>Sheria ya Mabadiliko ya Katiba bado ina upungufu ambao utaathiri utendaji wa Bunge Maalumu, ambalo huenda likaanza Februari 11 mwaka huu, mjini Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani