Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKUKURU YAMSHIKILIA MENEJA WA BANDARI HANDENI KWA MADAI YA KUOMBA HONGO YA SH. 900,000

 TAKUKURU Mkoa wa Tanga inamshikilia Meneja wa Bandari ya Kipumbwi iliyopo Handeni, Tanga Steven Mbakweni, kwa kosa la kuomba na kushawishi hongo ya Sh. laki 9 kutoka kwa mteja wake ili aweze kumruhusu kusafirisha mzigo kutoka Pangani kwenda Zanzibar.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.

 

10 years ago

Mtanzania

TAKUKURU watua bandari Dar

Na Masyaga Matinyi, Dar es Salaam
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imeanzisha uchunguzi kubaini mianya ya rushwa na ukiukwaji wa taratibu katika mradi wa ujenzi wa mlango wa Bandari ya Dar es Salaam (Gerezani Creek).
Mradi huo ulisainiwa Septemba 6, 2014 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Joseph Msambichaka na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Madeni Kipande, ambaye amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yake.
Kipande alisimamishwa...

 

5 years ago

CGTN

Nearly 900,000 pangolins trafficked worldwide

Nearly 900,000 pangolins trafficked worldwide  CGTN

 

11 years ago

Mwananchi

Plan kuwanoa 900,000 matumizi ya vyoo bora

Shirika la Plan International Tawi la Tanzania, limepanga kutoa mafunzo ya matumizi bora ya vyoo vya kisasa kwa watu 900,000 katika Wilaya za Chamwino, Bahi na Kongwa katika Mkoa wa Dodoma.

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ ALIPA FAINI 900,000/=, AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi. Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAOKOA SH. MILIONI 46,500,000 ZA WALIMU WASTAAFU


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh.22,500,000/= Mwalimu Loth Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida baada ya kudhulumiwa na mkopeshaji haramu.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh. 24,000,000/= Mwalimu Seleman Tyea Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida.Mwalimu Seleman Tyea Mwangu, akiwa amebeba maburungutu yake ya pesa baada...

 

10 years ago

Bongo5

Watu 86,000 wajitokeza kuomba nafasi 600 za kuonekana kama ‘extras’ kwenye Game of Thrones

Mashabiki wa Hispania wa tamthilia ya Game of Thrones walijikuta na furaha kubwa baada ya timu ya utayarishaji kwenda kwenye mji wa Osuna na kutangaza nafasi 600 za kazi. Waigizaji wa ziada waliopata kazi wakiwa location Wengine walikuwa na furaha kubwa kiasi cha kuacha kazi zao zinazoingia fedha nyingi kuhudhuria usahili wa kuonekana kama waigizaji […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani