Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA GOSPEL CONCERT & CONFERENCE MEMORIAL WEEKEND, COLUMBUS, OH.



Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA GOSPEL CONCERT & CONFERENCE MEMORIAL WEEKEND, COLUMBUS, OHIO


Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone akiimba moja ya nyimbo zilizowainua watu vitin kwenye tamasha la Gospel linaloendelea mjini Columbus tangia siku ya Ijumaa May 22 na kuhitimishwa leo siku ya Jumapili May 24. Tamasha lilihudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali wengine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya mbali na Ohio.
Mwimbaji kutoka Jamhuri ya Congo akienda sambamba na mwimbaji mahili wa nyimbo za injili Upendo Nkone kwenye tamasha la Gospel lililofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

THE INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL (FREE ADMISSION CONCERT) - THIS LABOR DAY WEEKEND!!!

WHAT: THE INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL  (FREE ADMISSION CONCERT)
WHEN: THIS LABOR DAY WEEKEND08/29/14 - 08/31/14FROM 6:00PM -10:00PM
WHERE: ALADDIN SHRINE CENTER3850 STELZER RDCOLUMBUS, OH 43219
WHO: VARIOUS RECORDING ARTISTS WILL PERFORM, INCLUDING;
UPENDO NKONESTEVEN WAMBURA MEN OF GOD'S HEARTTANA GLOVERGERRI BROWNFELIS MUBIBYAKIZA DANIEL EPELA NGONGODONIS & NNUNU NKONE
PLEASE, HELP SPREAD THE WORD. SHARE THIS WITH FAMILY, FRIENDS, AND NEIGHBORS
FOR MORE INFORMATION, PLEASE CALL (614)...

 

10 years ago

Vijimambo

UPENDO NKONE, MIKE KALAMBAY WANOGESHA TAMASHA LA GOSPEL COLUMBUS, OHIO

Mwimbaji wa nyimbo za injili wa Columbus, Ohio Enock Mwamba(kati) akiimba moja ya nyimbo za injili huku akiwashirikisha Mike Kalambay aliyekuja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Upendo Nkone aliyekuja toka Tanzania maalum kunogesha tamasha la Gospel lililofanyika siku Jumapili May 24, 2015 na kuhitimisha tamasha hilo lililokua la siku 3 mjini humo lililoanzia siku ya Ijumaa May 22, 2015.Mike Kalambay akiimba huku akitoa neno la Mungu kwa Kifaransa kilichochanganyika na lingala huku...

 

11 years ago

Michuzi

Official Diamond Memorial Weekend May 25th in Houston Promo Video

Diamond Live Houston 2014 Promo from PETER LIGATE on Vimeo.

 

10 years ago

Vijimambo

2015 DMV MEMORIAL WEEKEND EXTRAVAGANZA THIS SATURDAY MAY 23 NI SHIIIIIDA NDANI YA DC.


2015 DMV MEMORIAL WEEKEND EXTRAVAGANZA
12. THE NUMBER OF HOURS BEFORE THE BEST AFRICAN GROUP NOMINEES(BET) - SAUTI SOL TOUCH DOWN IN DC.
SALE OF ADVANCE TICKET CLOSES AT 6:00PM TODAY. 
http://sautisoldmv.eventbrite.com/

 

11 years ago

Dewji Blog

Diamond kuwasha Ngololo Houston Texas USA Memorial Weekend May 25

LIMITED ADVANCE TICKETS ONLINE NUNUA YAKO MAPEMA MLANGONI ZITAONGEZEKA….BOFYA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM

 

KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII  ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK ROSS,TI,YOUNG JEEZY,P SQUARE NA WENGINE WENGI WALISHA UTUMIA KUANGALIA UKUMBI HUO BOFYA HAYA

 

11 years ago

Michuzi

MEMORIAL WEEKEND EXRAVAGANZA RATIBA KAMILI HII HAPA THREE NIGHTS, TWO DAYS TO PARTY

IJUMAA May 23, 2014 kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajirii  ni Oldskul Night kama wewe ni kijana wa zamani sio usiku wa kukosa Pata Oldskul hapo chini ujikumbushekumbushe mambo yatakavyokuwa Kingilio $10
Dj Luke The Mix Master III from Luke Joe on Vimeo.

JUMAMOSI May 24, 2014 Mechi ya Mpira DMV a New York kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku Mechi itachezewa Walker Mills Park Address 8001 Walker Mills Rd, Capitol Heights, MD 20743 na baadae usiku wa International White Party Dress all...

 

9 years ago

Africanjam.Com

EPL & LA LIGA SCHEDULE THIS WEEKEND "26th, 27th & 28th SEPTEMBER. 2015"



2Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki September 26Tottenham Vs Man City saa 14:45Leicester Vs Arsenal        saa 17:00Liverpool Vs Aston Villa Saa 17:00Man Utd Vs Sunderland  saa 17: 00Southampton Vs Swansea saa 17:00Stoke Vs Bournemouth   saa 17:00West Ham Vs Norwich   saa 17:00Newcastle Vs Chelsea saa 19:30Setember 27Watford Vs Crystal Palace saa 18:00September 28West Brom Vs Everton saa saa 22:00Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania3Hii ni ratiba ya mechi za...

 

10 years ago

Vijimambo

TEMBA PHOTO NA VIJIMAMBO INAMASIKITIKO MAKUBWA KUWAAMBIA ILE SHOW YA YAMOTO MEMORIAL WEEKEND HAITAKUWEPO


Temba Photo na Vijimambo Media & Entertainment inamasikitiko makubwa kuwataarifu wadau wake kwamba lile Tamasha la bendi ya Mkubwa na Wanae (Yamoto) lililokua lifanyike New York na Washington, DC May 22 na 23, 2015 sasa halitafanyika kutokana na poromota mwingine wa Marekani kuingilia kati baada ya kuona Tangazo kwenye Vijimambo kwamba Temba Photo wakishirikiana na Vijimambo Media & Entertainment inawaleta Yamoto Band.

Maongezi ya Yamoto Band yaliyofanywa kati ya NY Ebra na Meneja wa kikundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani