TEMBA PHOTO NA VIJIMAMBO INAMASIKITIKO MAKUBWA KUWAAMBIA ILE SHOW YA YAMOTO MEMORIAL WEEKEND HAITAKUWEPO
Temba Photo na Vijimambo Media & Entertainment inamasikitiko makubwa kuwataarifu wadau wake kwamba lile Tamasha la bendi ya Mkubwa na Wanae (Yamoto) lililokua lifanyike New York na Washington, DC May 22 na 23, 2015 sasa halitafanyika kutokana na poromota mwingine wa Marekani kuingilia kati baada ya kuona Tangazo kwenye Vijimambo kwamba Temba Photo wakishirikiana na Vijimambo Media & Entertainment inawaleta Yamoto Band.
Maongezi ya Yamoto Band yaliyofanywa kati ya NY Ebra na Meneja wa kikundi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Diamond kuwasha Ngololo Houston Texas USA Memorial Weekend May 25
LIMITED ADVANCE TICKETS ONLINE NUNUA YAKO MAPEMA MLANGONI ZITAONGEZEKA….BOFYA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM
KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK ROSS,TI,YOUNG JEEZY,P SQUARE NA WENGINE WENGI WALISHA UTUMIA KUANGALIA UKUMBI HUO BOFYA HAYA
11 years ago
Michuzi05 May
Official Diamond Memorial Weekend May 25th in Houston Promo Video
10 years ago
Vijimambo2015 DMV MEMORIAL WEEKEND EXTRAVAGANZA THIS SATURDAY MAY 23 NI SHIIIIIDA NDANI YA DC.
2015 DMV MEMORIAL WEEKEND EXTRAVAGANZA
12. THE NUMBER OF HOURS BEFORE THE BEST AFRICAN GROUP NOMINEES(BET) - SAUTI SOL TOUCH DOWN IN DC.
SALE OF ADVANCE TICKET CLOSES AT 6:00PM TODAY.
http://sautisoldmv.eventbrite.com/
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziTAMASHA LA GOSPEL CONCERT & CONFERENCE MEMORIAL WEEKEND, COLUMBUS, OHIO
Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone akiimba moja ya nyimbo zilizowainua watu vitin kwenye tamasha la Gospel linaloendelea mjini Columbus tangia siku ya Ijumaa May 22 na kuhitimishwa leo siku ya Jumapili May 24. Tamasha lilihudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali wengine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya mbali na Ohio.
Mwimbaji kutoka Jamhuri ya Congo akienda sambamba na mwimbaji mahili wa nyimbo za injili Upendo Nkone kwenye tamasha la Gospel lililofanyika...
10 years ago
Bongo509 Mar
PAPASO: Mimi ni mwanzilishi wa Yamoto Band na Mkubwa Fella — Mh. Temba
11 years ago
Michuzi22 May
MEMORIAL WEEKEND EXRAVAGANZA RATIBA KAMILI HII HAPA THREE NIGHTS, TWO DAYS TO PARTY
Dj Luke The Mix Master III from Luke Joe on Vimeo.
JUMAMOSI May 24, 2014 Mechi ya Mpira DMV a New York kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku Mechi itachezewa Walker Mills Park Address 8001 Walker Mills Rd, Capitol Heights, MD 20743 na baadae usiku wa International White Party Dress all...
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima
Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,
Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.
10 years ago
GPLTMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO