Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NDONDI... HAPA WABUNGE PALE BONGO MOVIE

ZIKIWA zimesalia wiki mbili tu kabla Tamasha la Matumaini halijachukua nafasi katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu, tayari kambi mbili za wabunge na Bongo Movie wamejipanga vya kutosha kuhakikisha wanatwangana vilivyo siku hiyo. Wakali katika tasnia ya filamu Bongo Jacob Steven ‘JB’ na Issa Musa ‘Cloud 112’ wakitunishiana misuli. Wakizungumza na Centre Spread kwa nyakati tofauti, mastaa wa Bongo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa Yanga waisambaratisha Simba Tamasha la Matumaini 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo.

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga.

Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga.

Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba.

YANGANASIMBA14

Hekaheka wakati wa mtanange huo.

Mashabiki wakifuatilia mtanange huo.

Timu zikiingia...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUONESHANA KAZI

Talk of the town kwa sasa ni tamasha kubwa na la kipekee, Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kutimua vumbi Agosti 8, 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambalo ukiachilia mbali burudani kibao zitakazokuwepo, mechi kati ya wabunge wanaoishabikia Yanga dhidi ya wale wa Simba inatarajiwa kuwa kivutio cha aina yake. Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja. Kama ilivyokuwa kwenye tamasha hilo mwaka jana...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014: WABUNGE KUTWANGANA ‘LIVE’

AGOSTI 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi kwani Watanzania watashuhudia matukio makubwa ya burudani kupitia Tamasha la Usiku wa Matumaini. Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Miongoni mwa matukio hayo ni ndondi za waheshimiwa wabunge ambapo mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kigwangala atakazichapa ‘kavukavu’ na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Mratibu wa...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014… WABUNGE GANI KUZIPIGA MWAKA HUU?

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (kushoto) akionyeshana umwamba na staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper katika Tamasha la Matumaini 2013. MWAKA jana wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), Ester Bulaya (Viti Maalum, Mkoa wa Mara) walizipiga na wasanii wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper na Aunt Ezekiel, swali linalowasumbua akilini mashabiki wa Tamasha la Matumaini ni wabunge gani...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUPAMBANA UWANJA WA TAIFA


Makala na Nassor GalluSIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.
Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja.Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja.Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamasha la usiku wa matumaini 2014 Wabunge Simba na Yanga full kukanyagana wwanja wa Taifa

 

koko

Makala na Nassor Gallu

SIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.

Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Hebu jaribu kuvuta picha katika ubongo wako, waheshimiwa wabunge watakapoweka kando masuala ya ‘Ukawa’ na ‘Tanzania Kwanza’, kisha kukutana katika uwanja kuonyeshana umwamba kwa kusakata gozi la ng’ombe katika  mchezo huu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani