Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO UPASUAJI-4

Vyanzo vingi vya vimbe bado havijafahamika kitafiti lakini kuna baadhi ya vimbe vyanzo vyake vinajulikana na ni vema na wewe ukavitambua. Navyo ni;Polycystic ovarian syndromes Hizi ni zile vimbe ndogondogo nyingi zinazoweza kutokea kwenye kifuko cha mayai cha mwanamke, lakini nazo pia huweza kutokea katika pande zote mbili za vifuko vya mayai kwa mwanamke. Tafiti nyingi zinasema kwamba vyanzo bado havijapatikana lakini kuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO UPASUAJI

Leo tutazungumzia vimbe mbalimbali ambazo hutokea katika mwili wa mwanamke kwani wengi hawajui kama kizazi cha mwanamke kinaweza kutokewa na vimbe tofautitofauti katika maeneo tofauti kwa sababu vimbe zina vyanzo mbalimbali. Jambo la msingi la kuzingatia leo ni kwamba aina zote hizi za vimbe tuna uwezo wa kuziondoa pasipo kufanya upasuaji. AINA ZA VIMBE
Zipo aina tofautitofauti za vimbe katika mwili wa mwanamke, nazo ni kama;...

 

10 years ago

GPL

TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO UPASUAJI-3

Baada ya wiki iliyopita kuelezea dalili za vimbe katika mwili wa mwanamke, leo hii tunaendelea vipengele vingine. Fibroids au Mayoma
 Hizi ni vimbe zinazotokea katika mji wa mimba na hizi ndizo vimbe zinazowasumbua watu wengi sana  katika jamii yetu ya sasa, na dalili zake ni kama; Mwanamke hupatwa na maumivu chini ya kitovu lakini ni katikati siyo upande wa kulia wala upande wa kushoto na mara nyingi maumivu haya...

 

10 years ago

GPL

TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO UPASUAJI-2

Wiki iliyopita tuliziangalia aina za vimbe mbalimbali katika mwili wa mwanamke na tukaziweka wazi ili kila mtu aweze kuzijua na kuzielewa. Lakini changamoto ni moja nayo ni kwamba mtu hawezi kujua kama ana vimbe au laa hadi aweze kufanya vipimo, lakini kuna baadhi ya dalili ambazo zinaweza kukujulisha au kukushitua kwamba wewe una dalili moja au mbili za vimbe. DALILI ZA VIMBE KATIKA MWILI WA MWANAMKE
Kuna dalili tofautitofauti...

 

10 years ago

GPL

ZITAMBUE VIMBE MBALIMBALI KATIKA MWILI WA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO KUFANYA UPASUAJI

Wiki iliyopita tulizitazama aina za vimbe, tuliishia katika kipengele cha pili kilichosema:
Fibroids au Mayoma:Hizi ni vimbe zinazotokea katika mji wa mimba na hizi ndizo vimbe zinazowasumbua watu wengi sana  katika jamii yetu ya sasa, na dalili zake ni kama; Hapa mwanamke hupatwa na maumivu chini ya kitovu lakini ni katikati siyo upande wa kulia wala upande wa kushoto na mara nyingi maumivu haya huambatana na maumivu ya...

 

11 years ago

GPL

TAMBUA AINA TOFAUTI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Wiki zilizopita nilijadili kuhusu Fibroids, Ovarian cysts yaani uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi na tatizo la mwanamke kuwa na vijivimbe vingi vidogo vidogo kwenye vifuko vya mayai ya uzazi, tatizo ambalo kitaalamu hujulikana kama Polycystic Ovarian Syndrome ( PCOS). Leo nitamalizia somo hili. Leo ninamalizia somo letu ambalo linahusu kutambua aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke. Salpingitis
Hili ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Saada Mkuya awataka wahitimu mbalimbali nchini kujiajiri pasipo kuitegemea Serikali

01

Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar wakiingia katika Viwanja vya Mahafali chuoni hapo.

02

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akitoa hotuba kwa wahitimu hawapo pichani ambapo mewataka wajiajiri wenyewe badala ya kutegemea Serikali. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

03

Baadhi ya Wahitimu wa Fani ya Upishi wakiwa wanamsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke afanyiwa upasuaji huku akitengeza vitafunio

Mwanamke mmoja kutoka Italia amevunja rekodi baada ya kutengeneza vitafunio wakati wa upasuaji.

 

10 years ago

Vijimambo

NHIF YAPELEKA MADAKTARI MKOANI MARA, WAWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA MBALIMBALI

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano. Kaimu Mkurugenzi mkuu na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Upasuaji wa kubadili Maumbile Uturuki: Mwanamke aingiwa na hofu baada ya mchakato alioupitia

Kimberley Sadd anahitaji kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile na anataka kuonya wengine dhidi ya kupata huduma katika nchi zingine kwa gharama ya chini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani