Tamu na chungu msimu wa 2013/14
Katika Ligi Kuu msimu wa 2013/2014 makocha 10 wa klabu tofauti walitimuliwa kwa sababu ya matokeo mabovu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWfat0EdUJTgoE5wgHc9xzC2WSywNjty8U07NQkDB0QCgLspJthwvbFM5Gxen80VT-QXCpfTYkSWF4*DNV91x4iR/BACKAMANI.jpg)
BETHIDEI YA WASTARA TAMU, CHUNGU
Stori: Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
BETHIDEI ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma imegeuka kuwa maumivu baada ya kumkumbuka aliyekuwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ukumbini. Shabiki akimpongeza Wastara kwa kumbeba mgongoni. Sherehe hiyo ya kuzaliwa ya nyota huyo ilifanyika wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo...
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Tamu na chungu ya Malinzi TFF
Siku hazigandi, kwani ni mwaka sasa tangu uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais Jamal Malinzi uingie madarakani kwa kipindi cha miaka minne.
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Tamu, chungu ya kuhamia mfumo wa matangazo ya dijitali
Tanzania jana imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha uzimaji rasmi wa mfumo wa matangazo ya analojia, huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza katika nchi zilizo kusini ya Jangwa la Sahara.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
‘Chungu, tamu’ ya maisha ya kila siku ya Maria, Consolata
Ni pacha walioungana, wasema hubaki nyumbani muda mwingi kwa kukosa usafiri wa kuwapeleka shuleni na ndoto yao ni kuwa makatibu muhtasi
11 years ago
Mwananchi25 May
‘Hair Bleaching’: Mtindo wa nywele wenye tamu, chungu
Bleaching au kupaka rangi nywele ni mtindo maarufu kwa vijana wenye umri kati ya miaka 18-25 wa jinsi zote.
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Tamu na chungu ya sera mpya ya elimu na mafunzo ya 2014
Serikali imezindua rasmi sera mpya ya elimu na mafunzo, ambayo ama kweli inakusudia kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa elimu nchini.
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Yaliyojiri mechi ya watani kufunga msimu 2013/2014Â
PAZIA la Ligi Kuu Vodacom 2013/14 lilifungwa juzi kwa timu zote 14 kushuka katika viwanja saba tofauti, huku watani wa jadi, Simba na Yanga wakimalizia kwa sare ya bao 1-1...
10 years ago
Michuzi17 Apr
KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali
Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania