Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanga wasitisha ugawaji wa mashamba kwa wageni

MKOA wa Tanga umesitisha ugawaji wa mashamba na maeneo ya malisho kwa wageni hadi utakapokamilisha upimaji ardhi yote na kuipangia matumizi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sumatra wasitisha nauli mpya kwa siku 14

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Giliard NgeweMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesitisha kwa siku 14 utozaji wa nauli mpya za mikoani zilizokuwa zianze leo baada ya kupata maombi ya rejea kutoka kwa wamiliki wa mabasi ya mikoani kutaka kuangaliwa upya nauli hizo zilizoshushwa.

 

10 years ago

StarTV

Serikali lawamani kuchelewesha ugawaji viwanja kwa waathirika wa mafuriko.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

Zaidi ya waathirika 200 wa mafuriko yaliyotokea Januari mwaka jana wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kupima na kuwagawia viwanja kwa wakati hali ambayo imewafanya washindwe kujenga makazi ya kudumu na kuondokana na adha ya kukaa kwenye mahema ambayo sasa yamechakaa.

 

Malalamiko hayo yanakuja kutokana na mvua kuanza kunyesha wakati mahema yakiwa yamechanika na mvua kuwanyeshea hali ambayo inawafanya waishi katika...

 

5 years ago

Michuzi

TANGA UWASA YATOA VIFAA 85 VITAKAVYOTUMIKA KWA AJILI YA USAFI MKOANI TANGA


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akimkabidhi vifaa vya 85 vitakavyotumika kwa ajili ya usafi kwenye wilaya tatu zilizopo mkoani Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ili viweze kusambazwa maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni,hospitalini na stendi sambamba na kujenga masinki ya kunawia mikono kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari na Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Tanga Upendo Lugongo na wa...

 

5 years ago

Michuzi

RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA


Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika  mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...

 

10 years ago

Vijimambo

UGAWAJI WA VYETI VYA URAIA KWA WATANZANIA WAPYA 152,572 WAFIKIA UKINGONI

Afisa Uhakiki, Neema Chilipweli (kushoto) akiihakiki familia ya Yohanna Bukuru (watatu kulia), pamoja na mkewe na watoto wao sita kutoka Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi, ikiwa ni hatua ya awali ya uhakiki ili familia hiyo iweze kupewa vyeti vya uraia wa Tanzania. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba

Na John Gagarini, Kibaha
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.

Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashamba ya Balali kugawanywa kwa wananchi

>Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero imeamua kufuta miliki ya mashamba yote makubwa yasiyoendelezwa na taratibu mpya zinafanyika ili kuyamilikisha kwa wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

SHIWATA WAGAWA MASHAMBA KWA WANACHAMA WAKE

Msanii Maarufu nchini Ahmed Olotu 'Mzee Chilo' wa kwanza kulia akimsikiliza mwenyekita wa SHIWATA Cassim Taalib wa pili kushoto  walipokuwa wakigawa mashamba kwa ajili ya wanachama waoWatakaohamia kijiji cha wasanii kupewa bustani bure

Na Mwandishi Wetu

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umetoa bure kwa wanachama wake wanaomiliki nyumba katika kijiji chao cha Mwanzega Mkuranga ya eneo la kulima bustani.

Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani