Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tangazo la biashara lazua zogo China

Kampuni moja China huenda ikatozwa faini kwa kuwakodi wanawake kuvua nguo zao kwenye treni mjini Shanghai kama tangazo la biashara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la biashara ya kukodisha trekta

TUNAKODISHA TREKTA!!"Kwa wale wakulima wenye ekari za kutosha maeneo kuanzia Mkuranga, Mwarusembe, Kimanzichana ya Mkiu, Mkamba nk hadi maeneo ya Ikwiriri na Rufiji.... mkombozi kapatikana sasa. Ile hofu ya kulima kwa muda muafaka imepata jawabu!!Tumeleta trekta linalofaa kupambana kwa kazi maeneo hayo, trekta hilo ni FORD 7500.Bei zetu ni nzuri zipo baina ya Tshs. 40,000/= hadi 60,000/= kulingana na umbali.Kwa mawasiliano:1. 0787519910 na 0767519910... Tutakujibu kwa simu na sms!!2. Kwa...

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China Afrika

PG4A9406

WAziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara  la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini  kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha  Tanzania – China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9476

WAziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara  la China na Afrika ( Vice...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015', wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre VVIP Room'. Mkutano huo umeanza leo Mei 18 2015 jijini Wuhan, Jiombo la Hubei. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi wa nchini...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA LA CHINA AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tanzania - China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani