Tangazo la msiba wa Kepteni — Sp. Kidai Senzala Kaluse
Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake.
Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE kilichotokea Novemba 29, 2014 Saa 4 asubuhi kwa ajali ya Helkopta huko Kipunguni B, Moshi Bar Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa baba yake Mzee Kaluse, Kimara Mwisho. Habari ziwafikie, Ukoo wote wa Warutu, Ukoo wa Kaluse, Ukoo wa Mroki, Familia yote ya Timothy Nathan, Ukoo wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA WA KEPTENI-SP. KIDAI SENZALA KALUSE
Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE kilichotokea Novemba 29, 2014 Saa 4 asubuhi kwa ajali ya Helkopta huko Kipunguni B, Moshi Bar Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa baba yake Mzee Kaluse, Kimara Mwisho. Habari ziwafikie, Ukoo wote wa Warutu, Ukoo wa Kaluse, Ukoo wa Mroki, Familia yote ya Timothy Nathan, Ukoo wa Kajiru...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Mazishi ya Mrakibu wa Polisi Capt.Kidai Senzala aliyefariki katika ajali ya Helikopta Dar
Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es Salaam wakielekea katika makaburi ya familia huko Gonja Maore Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Desemba 1, 2014.
Marehemu Kidai alikuwa Mrakibu wa Polisi na alizikwa kwa heshima zote za Kipolisi ikiwa ni kupigiwa mizinga na saluti mbalimbali za kipolisi kabla na baada ya maziko yake.
Helkopta...
10 years ago
MichuziMAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA DAR ES SALAAM
Marehemu Kidai alikuwa Mrakibu wa Polisi na alizikwa kwa heshima zote za Kipolisi ikiwa ni kupigiwa mizinga na saluti mbalimbali za kipolisi kabla na baada ya maziko...
10 years ago
VijimamboMAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA HEKOPTA DAR ES SALAAM
Marehemu Kidai alikuwa Mrakibu wa Polisi na alizikwa kwa heshima zote za Kipolisi ikiwa ni kupigiwa mizinga na saluti mbalimbali za kipolisi kabla na baada ya maziko yake.
Helkopta...
11 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA
MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA...
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Tangazo la msiba Tanzania na Marekani
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A....
10 years ago
Michuzi14 Apr
Tangazo la Msiba Leicester, Uingereza
Annur Community Centre Leicester, UK, Inasikitikita kutangaza kifo cha Mume wa Dada Ashura Juma, Bwana Twalib Durrace kilichotokea Jumatatu 13/04/15 Peterborough City Hospital.
Mazishi yatafanya leo Jumanne 14/04/15 hapo Peterborough central Mosque saa Tisa Mchana. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Abdul Dau 07792104495. Innaa Lillaahi wa Innaa Ilayhi Rajioon.
Khamis Sahal, Mdhamini Jumuia ya Annoor 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL.
10 years ago
VijimamboTangazo la msiba Marekani na Tanzania:
Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...
10 years ago
MichuziTANGAZO LA MSIBA DAR ES SALAAM
Mipango ya Mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa Marehemu Tegeta Mivumoni Dar es Salaam.
Habari ziwafikie Marko Ruwaichi Lyimo na nduguze wa Kilombero Morogoro, Vera na Jessie Mpanda wa Mwanza , Filex na Ajuae Lyimo wa Marangu Moshi na Eliwangu Jamhuri wa Arusha. Ukoo wa Yobu Lyimo, Shoo wa Machame, Mbuya, Mtui, Makundi ndg jamaa...