Tangazo la Twitter kwenye runinga lakanganya
Tangazo la kwanza la mtandao wa kijamii wa Twitter kwenye runinga limewaacha baadhi ya watazamaji wa televisheni Marekani wakiwa wamekanganyikiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Nairobi ya 6 kwenye Twitter Afrika
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Wakenya wapigania waziri kwenye Twitter
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Kauli ya Uhuru Kenyatta kwenye Twitter
5 years ago
Quartz01 Mar
Elliott Management to oust Twitter CEO Jack Dorsey? Twitter reacts
11 years ago
Michuzi27 Aug
11 years ago
Jamtz.Com25 Oct
HIKI NDO KILICHOSABABISHA BALOTELLI KUTIBUANA NA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED KWENYE MTANDAO WA TWITTER

Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi kutoka nchini Italia na klabu ya Liverpool Super Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa mtandao wa kijamii wa Twitter.
Polisi katika mji wa Merseyside wameanzisha uchunguzi kufuatia matusi hayo yaliyotokea baada ya mshambulizi huyo wa Liverpool kutuma ujumbe akiicheka kichapo cha Manchester United mikononi mwa timu ndogo ya Leicester siku ya jumapili.
Baloteli aliandika ''Man...
9 years ago
Bongo506 Jan
Mtandao wa Twitter kuongeza kikomo cha idadi maneno kwenye tweet moja kufikia 10,000 – ripoti

Mtandao wa kijamii wa Twitter inasemekana una mpango wa Kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-tweet ‘character limit’ na kufikia maneno 10,000 kwa tweet moja.
Ripoti zinasema mpango huo mpya utatumika pia na kwenye ujumbe wa moja kwa moja – DM (Direct Message) ambapo sasa mtumiaji wa Twitter atakuwa na uwezo wa kutuma DM yenye maneno elfu kumi kwenye ujumbe mmoja.
kwa sasa Twitter inaruhusu mtu kuandika maneno yasiyozidi 140 kwenye kila tweet moja.
Inasemekana mpango huo...