Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA 4 BENIN 1 TAIFA HIYO

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao  timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao.Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa hawajapata...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

10 years ago

StarTV

Taifa Stars yaifumua Benin 4-1.

TAIFA Stars jana iliikung’uta Benin kwa mabao 4-1 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambayo ilitanguliwa na mechi ya amani kati ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Mabao ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro,’ Amri Kiemba, Thomas Ulimwengu na Juma Luizio yalitosha kuizamisha Benin ‘Squirrels’ ambayo ilikuwa ikiongozwa na nahodha wake, mshambuliaji wa Wes Brom Albion ya England, Stephane Sessegnon. Bao lao lilifungwa na Suanon Fadel.

Stars...

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaivaa Benin

Timu yaTaifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  itaikabili Benin katika mchezo wa kirafiki kimataifa  utakaofanyia leo saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

26 WAITWA TAIFA STARS ITAKAYOIVAA BENIN

Wachezaji 26 wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kwa ajili mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Kocha Mart Nooij ambaye yuko Cairo, Misri kwenye kongamano la makocha la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), amesema kikosi cha Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kitaingia kambini Oktoba 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wachezaji walioitwa ni makipa...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS, BENIN KUKIPIGA JIJINI DAR OKTOBA 12

 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni. Programu ya Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa ajili ya mechi hiyo itatangazwa baadaye na Kocha Mkuu Mart Nooij.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaendelea na taratibu nyingine kwa ajili ya mechi...

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER:Clinical Taifa Stars hand Benin a hiding

>Taifa Stars recorded their first victory well-nigh five months after mauling Benin 4-1 in a friendly match at the National Stadium yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaikomoa Benin 4-1

Timu ya Taifa ya Tanzania, "Taifa Stars" imeibuka na ushindi mnono dhidi ya Benin baada ya kuicharaza magoli 4-1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani