TANZANIA IMECHAGULIWA KUWA MJUMBE KATIKA BARAZA LA UTENDAJI LA WMO,GENEVA USWISI.

Dr. Kijazi amechaguliwa tarehe 4 June 2015 bila kupingwa wakati wa Mkutano Mkuu wa kumi na saba wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Congress wa 17) ulioanza tarehe 25 Mei ambao unatarajiwa kumalizika tarehe 12 Juni, 2015 jijini Geneva, Uswisi.
Kuchaguliwa kwa Dr. Agnes Kijazi kumetokana na jitihada kubwa za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Ubalozi wetu wa Kudumu Umoja wa Mataifa, Geneva.
Dr. Kijazi anaongoza ujumbe wa Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...
10 years ago
Michuzi
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI .

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
10 years ago
Vijimambo
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
10 years ago
Vijimambo
MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

10 years ago
Michuzi
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

11 years ago
MichuziMkutano wa World Health Assembly waendelea Geneva Uswisi
5 years ago
MichuziPROF. KABUDI AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI AKIWA GENEVA - USWISI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika Geneva,Uswisi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
TANZANIA YACHAGULIWA MJUMBE WA BARAZA LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi (mwenye suti nyeusi) akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano Mkuu wa 17 wa Shririka la Hali ya Hewa Duniani unaofanyika Mjini Geneva, Uswisi. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Celestine Mushy (Kulia)
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MJUMBE KATIKA BARAZA LA UTENDAJI (EXECUTIVE COUNCIL) LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI–WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania