Tanzania na India Za saini Mikataba ya Ushirikiano
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete who is on a State visit to India at the invitation of the government of India today with India’s Prime Minister Narendra Modi witnessed the signing ceremony of Seven Memoranda of Understanding(M o U) shortly after the official welcoming ceremony held at the Presidential palace in New Delhi India.In the pictures below 1.6672-- The Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Dr. Mahadhi Juma Maalim exchange documents with his...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTanzania na India Zasaini Mikataba kadhaa ya Ushirikiano
10 years ago
Habarileo25 Oct
Tanzania, China zatia saini mikataba minne
MIRADI minne ya maendeleo Tanzania itanufaika na mabilioni ya fedha, yatakayotolewa na China baada ya nchi hizo mbili kutiliana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo itakayosaidia kuinua uchumi wa taifa.
11 years ago
GPLUTIAJI SAINI WA MIKATABA KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA NA TANZANIA
5 years ago
CCM BlogCHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)
Rais wa chama cha madaktari wa afya ya kinywa na meno Tanzania, Dkt. Ambege Mwakatobe akisalimiana na Prof. Mohamed Sobhy Omer, Rais wa chama cha madaktari wa meno Aswan Dental Syndicate Egypt mara baada ya hafla hiyo kumalizika Aswan, Egypt 27/2/2020. (PICHA ZOTE NA TDA)
Kushoto ni Dr. Timothy Theuri katibu mkuu chama cha madaktari wa kinywa na meno...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
11 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, India kuimarisha ushirikiano
TANZANIA na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuuimarisha kwa faida ya wananchi. Hayo yalielezwa kwenye mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa India, Mohamed Hamid Ansari. Dk yuko nchini humo kwa ziara ya kikazi.
10 years ago
MichuziTIB NA TAMISEMI WATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini na Mh. Jumanne Sagini, Katibu Mkuu TAMISEMI na Bw. Peter Noni, Mkurugenzi Mtendaji, TIB Development Bank yanaimarisha msingi wa taasisi hizi mbili wa uboreshwaji mifumo na utoaji wa huduma bora kwa jamii...
11 years ago
Michuzi28 Feb
DTBi - COSTECH WATILIANA SAINI YA USHIRIKIANO NA SILICON VALLEY YA MAREKANI
Bw.Carl Davis Jr, Rais wa Silicon Valley Black Chamber of Commerce na Eng. George Mulamula, Mkurugenzi Mtendaji wa DTBi (kulia) wakisaini MOU.
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI tanzu ya Tume ya sayansi na teknolojia ya DTBi-COSTECH na Silicon Valley Black Chamber of Commerce’s Center for Entrepreneurial Development (SVCED) wametiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano (MoU) ambapo pande zote mbili zitashirikiana kwa njia mbalimbali kwa ajili ya ukuaji wa wajasiriamali.
Mkataba huo, kati ya DTBi na...