Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania sasa namba moja kwa utalii

DSC_0089

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro  Nyalandu.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Wizara ya Maliasili na Utalii

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kama ilivyoripotiwa na kituo cha utangazaji cha CNN cha nchini Marekani, napenda kutumia fursa hii kuwajulisha kuwa nchi yetu imeendelea kufanya vizuri duniani katika kunadi vivutio vya utalii vilivyoko hapa nchini. Hii inatokana na hatua madhubuti tulizochukua kama nchi, katika suala zima la uhifadhi hasa kwenye ulinzi wa maliasili zetu dhidi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Utalii wa Wanyamapori na Maendeleo ya Jamii: Mambo yenye uhusiano wa asili na wa moja kwa moja

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,
Mark ChildressSiku ya Kimataifa ya Utalii ambayo huadhimishwa tarehe 27 Septemba inatupa fursa ya kutafakari manufaa na matokeo ya jitihada za uhifadhi wa wanyama pori na utalii kwa jamii zinazozunguka maeneo ambapo shughuli hizi zinafanyika na kwa Tanzania kwa ujumla. Kwa watu wengi duniani kote, kutembelea Tanzania ni jambo la kipekee na la kihistoria katika maisha yao. Kwa Tanzania ziara za watalii hao ni chanzo cha mapato na kichocheo cha uchumi,...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA

Mwaka 2012, Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope), lilikuwa kubwa sana, 2013 likatisha zaidi kutokana na muundo mzima wa burudani, jumlisha na historia iliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Staa wa Bongo Movie, Irine Uwoya Dk. Kikwete alikuwa mgeni rasmi, alizungumza na umati mkubwa uliohudhuria lakini hakuishia hapo, aliandika historia pale alipokagua wachezaji wa timu za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari wa Wanyamapori sasa kuajiriwa moja kwa moja kama Majeshi mengine

JO6A7765

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akikwagua gwaride la heshima jana alipowasili Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa...

 

10 years ago

Habarileo

Ruzuku sasa kulipwa moja kwa moja shuleni

Kassim MajaliwaNAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa amesema Serikali inabadilisha mfumo wa kutoa ruzuku kwa shule za sekondari nchini, ambapo kuanzia sasa, fedha hizo zitakuwa zikienda moja kwa moja kwenye shule husika, badala ya kupitia kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.

 

10 years ago

Bongo5

Jarida la ‘Ventures Africa’ lamtaja Dewji bilionea namba moja Tanzania

Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji (39), ametajwa kuwa ndiyo bilionea namba moja nchini kwa sasa, akifuatiwa na Rostam Aziz (49). Kwa mujibu wa ripoti ya Jarida la Ventures Africa lililotolewa jana, wafanyabiashara hao ndiyo Watanzania pekee waliongia kwenye orodha ya mabilionea 55 barani Afrika. Dewji, ambaye pia ni mbunge wa Singida Mjini kwa tiketi ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja. Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna […]

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: YANAYOJIRI UCHAGUZI MKUU TANZANIA

Watanzania wanapiga kura Oktoba 25 kumchagua mrithi wa Rais Jakaya Kikwete anayeondoka madarakani baada ya kuongoza kwa mihula miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani