Tanzania sasa yashika namba moja kwenye Utalii - Nyalandu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 May
Tanzania sasa namba moja kwa utalii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wizara ya Maliasili na Utalii
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kama ilivyoripotiwa na kituo cha utangazaji cha CNN cha nchini Marekani, napenda kutumia fursa hii kuwajulisha kuwa nchi yetu imeendelea kufanya vizuri duniani katika kunadi vivutio vya utalii vilivyoko hapa nchini. Hii inatokana na hatua madhubuti tulizochukua kama nchi, katika suala zima la uhifadhi hasa kwenye ulinzi wa maliasili zetu dhidi ya...
10 years ago
Bongo530 Oct
‘Game’ ya Navy Kenzo yashika namba 1 kwenye Top 10 ya Trace Urban

9 years ago
Bongo511 Dec
‘Ojuelegba’ ya Wizkid yashika namba 12 kwenye orodha ya nyimbo 107 bora za Jarida la FADER la UK

Jarida la FADER limetoa orodha yake ya nyimbo 107 bora kwa mwaka 2015, na kutolea maelezo kwenye kila wimbo ya sababu za wao kuuchagua.
Wimbo wa wizkid ‘Ojuelegba’ umeingia kwenye nafasi ya 12, huku juu yake nafasi ya 11 ipo ‘Alright’ ya Kendrick Lamar na chini yake namba 13 ni ‘Comma’ ya Future.
Hii ni nafasi ya 1 hadi 13:
1. Skrillex and Diplo f. Justin Bieber, “Where Are Ü Now”
2. Rihanna, Kanye West, and Paul McCartney, “FourFiveSeconds”
3. Jamie xx f. Young Thug and Popcaan, “I Know...
11 years ago
GPL
USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA
10 years ago
Bongo513 Nov
Jarida la ‘Ventures Africa’ lamtaja Dewji bilionea namba moja Tanzania
10 years ago
GPL
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN
10 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UTALII NA MALIASILI MHE. LAZARO NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI TANZANIA
11 years ago
Michuzi.jpg)
Utalii wa Wanyamapori na Maendeleo ya Jamii: Mambo yenye uhusiano wa asili na wa moja kwa moja
.jpg)
Mark ChildressSiku ya Kimataifa ya Utalii ambayo huadhimishwa tarehe 27 Septemba inatupa fursa ya kutafakari manufaa na matokeo ya jitihada za uhifadhi wa wanyama pori na utalii kwa jamii zinazozunguka maeneo ambapo shughuli hizi zinafanyika na kwa Tanzania kwa ujumla. Kwa watu wengi duniani kote, kutembelea Tanzania ni jambo la kipekee na la kihistoria katika maisha yao. Kwa Tanzania ziara za watalii hao ni chanzo cha mapato na kichocheo cha uchumi,...