Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania, UNIDO wazindua elimu mtandao

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda UNIDO wamezindua elimu kwa njia ya mtandao inayolenga kutoa mafunzo ya usindikaji wa ngozi kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Naibu Mkurugenzi Uwekezaji na Utafiti kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Mhandisi Elli Pallangyo amesisitiza kuwa sekta ya ngozi inatoa fursa kubwa ya ajira na kupitia mafunzo hayo vijana watapata kipato cha uhakika.

Mafunzo hayo yatakayoratibiwa na chuo cha DIT Mwanza...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nishati wazindua leseni kwa mtandao

WIZARA ya Nishati na Madini juzi ilizindua utoaji wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao ambapo mfumo huo unatarajia kuondoa mianya ya rushwa, manung’uniko na migogro kwa wachimbaji wakubwa na wadogo nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Six Telecoms, Tata Communications wazindua mtandao wa VPN

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Six Telecoms Limited, Rashid Shamte akizungumza katika uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private Network (VPN)    kwa kushirikiana na kampuni maarufu ya mawasiliano duniani, Tata Communications. Mtandao wa VPN utawawezesha wafanyabishara nchini kukamilisha shughuli zao za kibiashara hapa nchini bila ya kuvuka mpaka. Mwakilishi Mkuu wa kampuni ya Tata Communications kanda ya Afrika, Steven Van der Linde akizungumza katika uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private...

 

9 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WANAWAKE WAZINDUA ILANI YA UCHAGUZI JIJINI DAR

 Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizungumza na wananchi juu ya uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi leo jijini Dar es Salaam.Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizidua ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi leo jijini Dar es Salaam.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

NMB, AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO

Mgeni rasmi katika hafla hiyo Mh.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano akieleza jambo katika hafla hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa fedha na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo. Kaimu mtendaji  mkuu wa Benki ya NMB Tom Borghols akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi mtendaji wa  Airtel  Sunil Colaso akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Elimu sheria ya mtandao kutolewa

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaWAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuanzia wiki ijayo wataalamu wake wataanza kutoa elimu kwa umma kuhusu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, ili ianze kutumika rasmi.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya BG Tanzania na shirika la Africare Tanzania wazindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Mkoani Mtwara

​Mshauri wa Masuala ya Maendeleo ya Jamii na Mahusiano; wa Kampuni ya BG Tanzania, Emil Karuranga (wa pili kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa​ ​Shirika la ​Africare, Alfred Kalaghe (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano wakati wa uzinduzi wa Mradi wa mafunzo kuwawezesha vijana kiuchumi mkoani Mtwara juzi. ​Wanaoshuhudia (kulia) ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Johansen Bukwali na Meneja Mradi wa vijana, Dickson Mbita.
Kampuni ya BG kwa kushirikiana na Kampuni ya...

 

11 years ago

Ykileo

USALAMA MTANDAO NA NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUTOA ELIMU.

Hali ya usalama mtandao ni dhahiri bado jitihada za dhati zinahitajika ili kuweza kuleta mabadiliko na kupata Tanzania salama kimtandao, Afrika na dunia kiujumla. Ili kuleta mabadiliko chanya jukumu la kutoa elimu halipaswi kubaki kwa mtu mmoja au kundii Fulani la watu bali ni lazima kuwe na kuunganisha nguvu ya pamoja kutoka katika kila mtu mmoja mmoja.


Miongoni mwa jitihada zinaonekana kwa vyombo vya habari na makundi mbali mbali nchini Tanzania kuanza kuona umuhimu wa maswala ya ulinzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani