Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Yaendelea Kuaminiwa Kimataifa


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imeendelea kuaminiwa kimataifa kufuatia jitihada mbalimbali inayofanya kwa ajili ya kupiga vita vitendo vya rushwa pamoja kuwekeza katika miradi mbalimbali inayolenga na kuboresha maisha ya wananchi, pamoja na kukuza uchumi wa nchi.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alisema kuwa Machi 5, 2020 Shirika la Fedha Fedha Duniani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yaendelea Kung’ara Kimataifa

Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya nne Afrika kwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara ndogondogo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Msemaji mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa kidunia Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika Nyanja mbalimbali ambapo katika suala hilo anasema kidunia imekuwa ya 21.

“Taasisi za Kimataifa zinatambua juhudi za Serikali yetu katika...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAENDELEA KUZIOMBA TAASISI ZA FEDHA ZA KIMATAIFA KUSAMEHE MADENI NCHI ZINAZOENDELEA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamamba John Kabudi akifuatilia mkutano wa Marais, Mawaziri Wakuu pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Madola uliofanyika kwa njia ya mtandao (video conference) leo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam

……………………………………………………………………

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya madola kufikiria kufuta kabisa...

 

11 years ago

GPL

SEMINA YA KIMATAIFA YA UJASIRIAMALI YAENDELEA DAR LIVE

Kisamvu kilichotengenezwa kitaalam na wajasiriamali hao ambacho kina uwezo wa kukaa siku tano bila kuharibika.
Wataalam wa mafunzo wakionesha mashine ya kutotoa vifaranga vya kuku kwa wajasiriamali (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Vijimambo

MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI PERU-LIMA

-Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano...

 

9 years ago

Michuzi

MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI LIMA, Peru

 Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuza uchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.

Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mikutano ya Benki ya Dunia la Shirika la Fedha la Kimataifa yaendelea mjini Peru-Lima

IMG_4099

Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.

IMG_4155

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

10 years ago

Mwananchi

Tabia inaweza kumjengea mtu uwezo wa kuaminiwa katika jamii anayoishi

Watu wengi bado hawajajua nini maana ya uaminifu. Wengi wetu tunadhani kwamba kupeleka fedha ulizoombwa kuzifikisha ni uaminifu, lakini siyo kumfikisha salama mke wa mtu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani