Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAFUNGUKA KUHUSU MICHEPUKO‏

Kila Kona ya Nchi,Jambo Kuu linaloongelewa sasa ni MICHEPUKO! Kwa mara ya kwanza Tanzania imefunguka kuhusu mambo yanayosababisha Michepuko kwenye mahusiano na namna Michepuko hiyo inavyofichwa! Kupitia FACEBOOK Page ya Michepuko www.facebook.com/Michepuko ,Twitter @Michepuko na nstagram @Michepuko... WaTanzania wamepata Nafasi ya kuongea kwa uwazi kabisa kuhusu Sababu za Michepuko, Namna ya kuivumbua na Jinsi ya kuiepuka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UJUMBE KWA WAPENDA MICHEPUKO‏

Unapenda kuchepuka? Hatukukatazi, lakini tunakupa tahadhari, mchepuko unakuathiri wewe na taifa zima kuanzia sekunde unayoanza, kwa sababu itakupa ugonjwa, utaupeleka nyumbani, utamwambukiza mwenzako, mtaugua na kufa, mtaiacha yatima familia yenu, mtazalisha watoto wa mitaani, watageuka majambazi na kufanya uhalifu mitaani.

 

10 years ago

GPL

TAARIFA YA MKURUENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA KUHUSU KUKOSEKANA KWA HUDUMA‏

Managing Director, Rene Meza. Dear Esteemed Customer,
We sincerely apologize for not being able to provide services to you, our esteemed customers and the public in general on the evening of February 4, 2015. This was due to a technical failure on one of the features on our network. As a result of this you were unable to make voice calls, use the internet and do money transfers. We understand the inconvenience that this outage...

 

10 years ago

GPL

UN TANZANIA YAKUSANYA MAONI KUHUSU UTENDAJI WAKE NCHINI NDANI YA SABASABA, KARUME HALL‏

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimwelekeza Mkurugenzi wa kampuni ya Events World, Dimo Debwe Mitiki, jinsi ya kuwasilisha maoni yake kuhusiana na kazi za Umoja wa Mataifa na nini angependa Umoja huo ufanye zaidi kwa ajili ya watanzania kwenye viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama “Sabasaba”.  Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Moro -Dodoma yafunguka

MAGARI yaliyokuwa yamekwama kwa siku tatu kuanzia Januari 22, kwenye barabara kuu ya Morogoro - Dodoma, baada ya daraja la Mkundi eneo la Magole, wilayani hapa kuharibiwa na mafuriko, yalianza kupita jana asubuhi baada ya matengenezo ya muda kukamilika. Mbali na malori, pia mabasi yaliyokuwa yakitoka Dodoma nayo yalipita eneo hilo, baada ya gari la kwanza kuruhusiwa saa 4:30 asubuhi, siku mbili baada ya kuanza matengenezo yaliyopangwa kuchukua siku nne hadi kesho, kazi iliyozinduliwa na...

 

10 years ago

GPL

DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP‏‏

 Mkurugenzi Mtendaji  wa DCB  Commercial Bank Plc  Bw. Edmund Mkwawa (wa tatu kutoka kulia) na wa pili kutoka (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa My way Entertainment Paul Mganga,wa Kwanza (kulia) ni Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015 David Manoti, wa pili  (Kushoto) Samweli Mahendeka Agency Banking Manager ambaye pia ni Kapteni wa Timu ya Benki ya DCB wa tatu (kushoto) ni...

 

10 years ago

Michuzi

DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP‏‏‎

 Mkurugenzi Mtendaji  wa DCB  Commercial Bank Plc  Bw. Edmund Mkwawa akiongea na Waandishi wa Habari Makao makuu ya Benki ya  DCB Benki ya DCB imethibitisha kushiriki katika Mashindano ya  Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015, hayo yalisemwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bwana Edmund Mkwawa akiongea na waandishi wa Habari , alisema  Timu yao tayari imesha anza kufanya mazoezi ya kujiandaa na mashindano hayo tangu mwezi wa pili mwaka huu 2015 na kuwa timu ipo katika hari nzuri...

 

10 years ago

GPL

UN YAPONGEZA MKAKATI WA KUELIMISHANA KUHUSU SDGs‏

Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu (SDGs), iliyoandaliwa na taasisi ya utafiti wa uchumi na jamii (ESRF) iliyofanyika hivi karibuni visiwani Zanzibar. Kulia kwake ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...

 

11 years ago

GPL

Michepuko

Kama unajiheshimu na Kujithamini,na vilevile unampenda na kumheshimu mwenza wako,huwezi kukibali kufanywa mchepuko ama kuingiza mchepuko katikati ya mahusiano yako na mwenza wako.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani