Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YASISITIZA UWEZESHWAJI WA NCHI MASKINI

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akijiandaa kuwasilisha mchango na maoni ya Tanzania wakati wa Mkutano wa kumi na Moja wa Kikundi Kazi cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kikundi Kazi hicho ambacho Tanzania ni mjumbe kilikutana wa wiki moja ambapo kilipitia na kuboresha rasimu ya malengo mapya ya maendeleo baada ya 2015. Walio kaa nyuma wa Balozi ni Dr. Lorah Madete, Afisa Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Tume ya Mipango na Bw. Noel...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TCRA yasisitiza amani ya nchi ilindwe

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitaka vyombo vya utangazaji kuendelea kutangaza habari zenye kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Radi yaandama nchi maskini?

Radi inasemekana kuwaua na kuwajeruhi watu wengi ambao idadi yao inaongezeka kila uchao katika nchi zinazostawi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pengo la maskini, tajiri kuchafua nchi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Alfred Msovela, amesema kuna uwezekano wa taifa kuingia katika machafuko kutokana na kuwepo kwa matabaka ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. Alisema kutokana na wachache kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Inatia aibu kuona nchi ina rasilimali lukuki lakini maskini

Kwa miaka mingi sekta ya kilimo hapa nchini imekuwa ikitajwa kuwa na mchango mkubwa katika kutoa ajira hapa nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je kinga ya virusi vya corona itaziba pengo la chanjo kati ya nchi tajiri na maskini?

"Changamoto itakuwa ni kuhakikisha kwamba kuna chanjo ya kutosha kwa watu anaohitaji kutoka nchi tajiri lakini pia kwa nchi maskini vilevile."

 

10 years ago

GPL

CHADEMA YAENDELEA KUKOMAA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA

 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akionesha barua za kuomba vibali vya kufanya maandamano katika maeneo mbalimbali nchini. …
...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAENDELEA KUKOMAA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA KUANZIA KESHO

 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu maandamano ya chama hicho yatakayoanza kesho nchini kote kupinga Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea Dodoma. Kulia ni Kada wa Chadema, Aron Mashuve na Mwanasheria wa chama hicho, John Malya.
 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na...

 

5 years ago

Michuzi

UNESCO imeonyesha kuwa asilimia 40 ya nchi maskini zaidi haziwasaidii wanafunzi walio katika hatari wakati huu wa janga la COVID-19

Chini ya asilimia 10 ya nchi zina sheria zinazosaidia kuhakikisha ujumuishaji kamili katika elimu, kwa mujibu wa Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa Elimu 2020: Ujumuishaji na Elimu – Tukisema wote, Basi ni Wote, kutoka UNESCO.
Ripoti hii inatoa uchanganuzi wa kina kuhusu vipengele msingi vya utengaji wa wanafunzi katika mifumo ya elimu ulimwenguni vikiwemo mahali walimotoka, utambulisho na uwezo (yaani, jinsia, umri, mahali walimotoka, umaskini, ulemavu, kabila, asili, lugha, dini, hali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani