Tanzania yatekeleza maazimio ya SADC
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchini wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) katika kutumia mfumo wa matangazo wa dijiti.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano TCRA, Innocent Mungi alisema nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mawasiliano ya Simu Dunia (ITU) kwa pamoja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Dec
Tanzania yatekeleza maazimio ya elimu kwa wote
TANZANIA imekuwa ya mfano miongoni mwa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara katika kutekeleza maazimio ya Mpango wa Elimu kwa Wote (EFA).
9 years ago
MichuziSADC-PF TO OBSERVE GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA
11 years ago
IPPmedia18 Mar
Open University Tanzania commends SADC's support
IPPmedia
IPPmedia
The Open University of Tanzania (OUT) has applauded the Southern African Development Community (SADC) for its support in enabling the varsity deliver a cross section of specialized courses. The commendation was made yesterday at the Dar es ...
10 years ago
Michuzitanzania yashiriki mkutano wa sadc nchini zimbabwe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7mkse8tbbUQi-Lt8omAj15g0GA8T9IhR7*2voN0Q-50kYc4tmW3ZZfxVnfv3j*RY2AhxgilQERoNyCrfMN2tP4l/jk2.jpg?width=650)
MWANAFUNZI WA TANZANIA ATWAA TUZO YA INSHA NCHI ZA SADC
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8qq8Oz0bQB0/VFYh9gO2-sI/AAAAAAAGvFg/8DhwyDy1bGw/s72-c/unnamed%2B(70).jpg)
Tanzania Urges SADC Countries to fight firmly Ebola Pandemic
Tanzania has urged SADC member countries to effectively strategize the bitter war against Ebola pandemic which has so far claimed lives of more than four thousand people in at least five countries in Africa.
The call was made by Hon. Mohamed Habib Mnyaa while moving motion at the 36th Plenary Assembly of the SADC Parliamentary Forum being held in Victoria Falls, Zimbabwe.
Hon. Mnyaa said, the Ebola Virus Disease (EVD) is not only a deadly health...
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Israel yatekeleza mashambulizi Ghaza
9 years ago
MichuziHIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS JK
10 years ago
Habarileo02 Dec
Dar yatekeleza agizo la maabara za JK
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiria kupatiwa majibu juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari, kwa mujibu wa agizo lake kwa kila halmashauri za wilaya na manispaa nchini, manispaa za Dar es Salaam zimebainisha kuwa zinaendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa agizo hilo.