Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yatekeleza maazimio ya elimu kwa wote

TANZANIA imekuwa ya mfano miongoni mwa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara katika kutekeleza maazimio ya Mpango wa Elimu kwa Wote (EFA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Tanzania yatekeleza maazimio ya SADC

mungiNa Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchini wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na ya Jumuiya ya   Afrika Mashariki(EAC) katika kutumia mfumo wa matangazo wa dijiti.

Akizungumza na waandishi wa habari  Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano TCRA, Innocent Mungi alisema nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mawasiliano ya Simu Dunia (ITU) kwa pamoja...

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48 za Elimu nchini.

 Mwenyekiti  wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi  vitabu kwa ajili ya kusaidia  shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini  Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF),...

 

11 years ago

Michuzi

Barua ya wazi kwa wabunge na vyama vyote vya siasa na viongozi wote na kwa umma wa Tanzania.

Na mshurukuru Mungu kwa kunipa afya na uzima mpaka leo na mpaka kufikia hapa tulipofika na kuweza kuona miaka zaidi ya hamsini ya uhuru na miaka hamsini ya Muungano  na mpaka kufikia hatuwa ya kuweza kupata katiba mpaya au mchakato wa kuandika katiba mpya, Na wewe Bwana michuzi nashukuru kwa kazi yako unayoifanya ya kutupa matukio yanayotokea uko nyumbani kwa video na kwa picha,Mungu akurinde na akupe uzima na Afya.
Bwana michuzi wazungu wanasema  damu ni nzito kuliko maji...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yatekeleza mipango ya Milenia kwa 80%

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kutekeleza Malengo ya Milenia kwa asilimia 80 hadi ifikapo mwakani 2015 ikiwamo kupunguza vifo kwa watoto pamoja na uandikishaji wa wanafunzi kwa elimu ya msingi.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC YATEKELEZA DHANA YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII MKOANI MTWATRA.

Mkurugenzi wa Undelezaji wa Mafuta na Gesi Asilia Dk. Wellngton Hudson (kushoto), akitoa mfano wa Hundi ya shilingi 15,000,000, kwa uongozi wa Mkoa wa Mtwara na Klabu ya Mpira wa Miguu ya Ndanda, kuanzia kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Halima Dendego, Mkurugenzi wa Klabu ya Ndanda Athuman Kambi na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Alfred Cosmas Luanda.Mkurugenzi wa Undelezaji wa Mafuta na Gesi Asilia Dk. Wellngton Hudson (pili kushoto), akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 10,000,000 kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.


Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani