Tarime chereko urais wa Magufuli
WAKAZI wa wilaya Tarime mkoani Mara wamepongeza ushindi wa aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli kwa ushindi mkubwa huku wakiahidi kumpa ushirikiano katika kuwaletea wananchi maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUtambulisho wa video mpya ya Chereko Chereko - CPwaa
Uzinduzi wa Video mpya ya CPwaa "Chereko Chereko" utafanyika Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New Maisha Club Club. sambamba na uzinduzi huo kundi la wasanii wa kizazi kipya "Wadananda" litatambulisha wimbo wao mpya uitwao "Kidaluse". Watakaosindikiza usiku huo ni pamoja na: Dullayo, Spince Senseme,Wakazi,Dknob,Country Boy,Young Suma,Msami,Gnex, The B est of Kino na The chocolate Dancers.
11 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi04 Sep
10 years ago
Bongo503 Sep
New Video: Chereko Chereko — CPwaa
Hatimaye Cpwaa ameachia video ya wimbo wake Chereko Chereko uliotayarisjwa na Mesen Selekta. Video imeongozwa na Adam Juma (Next level).
10 years ago
GPL04 Sep
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Vurugu zamkaribisha Magufuli Tarime
Wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akiwasili mjini Tarime leo, mtu mmoja amekufa, saba wamejeruhiwa katika vurugu zilizohusisha wafuasi wa CCM na Chadema katika jimbo la Tarime Vijijini.
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Magufuli akaribishwa kwa vurugu Tarime
Wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akiwasili mjini Tarime leo, mtu mmoja amekufa, saba wamejeruhiwa katika vurugu zilizohusisha wafuasi wa CCM na Chadema katika jimbo la Tarime Vijijini.
9 years ago
GPLMAGUFULI ATIKISA NYAMONGO NA TARIME, MKOANI MARA
  Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Jonh Pombe Magaufuli akinani sera zake Nyamongo mkoani Mara.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania