Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA BARABARA TUKUYU RUNGWE

Foleni ya magari asubuhi Tukuyu Rungwe
Hali ya hewa Nzuri sana Tukuyu
Picha na Bashiru Madodi Rungwe

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Prof. Mwandosya akagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Lupaso-Bujesi,Tukuyu

Bango la Ujenzi wa Barabara ya Lupaso-Bujesi ambayo ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya Katumba -Tukuyu kwa kiwango cha lami.Waziri wa nchi Ofisi ya Rais - Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,Said Mderu wakipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya Lupaso-Bujesi ambayo ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya Katumba -Tukuyu kwa kiwango cha lami.Wakati walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo.Waziri wa nchi...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI

Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea. Kamera yetu leo imepita maeneo mbalimbali ya Kinondoni barabara ya Kawawa, na kujionea namna ambavyo ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi unavyoendelea. Gabriel…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA BARABARA YA KIVUKONI FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEo

 Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA MATUMIZI YA BARABARA BAADA YA KUNYESHA KWA MVUA JIJINI DAR

Kamera ya Mdau ilimnasa Dereva huyu wa Bodaboda akiwa na abiria wake,wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta balaa ndani ya jiji hili la Dar. Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog

 

11 years ago

Michuzi

updates: Taswira za Maendeleo ya ujenzi wa barabara na vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam

 Kituo cha Ubungo mwisho kinavyoonekana leo  Ubungo mwisho  Ubungo stendi  Daraja la Manzese bado linadunda Muonekano wa barabara hio kutokea Magomeni Mapipa kwa Macheni

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA INAVYOPIGA MATIZI HUKO TUKUYU…


Mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans wanaendelea na mazoezi mjini Tukuyu, Mbeya kujiwinda na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC itayopigwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Wakiwa huko, Yanga tayari wamecheza mechi mbili za kirafiki ambapo ya kwanza walishinda 4-1 dhidi ya Kimondo FC.Magoli ya Wanajangwani katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa CCM Vwawa Mbozi yalifungwa na Geofrey Mwashiuya (mawili), Simon Msuva na Amissi Tambwe.Yanga...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI TOKA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ANGULILE MWASUMBWE WA TUKUYU

Kwa niaba ya familia ya mzee Angulile Mwasumbwe wa Kanyelele Tukuyu Mbeya, tunawashukuru ndugu, marafiki na jamaa zetu wote walioungana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu uliotokea 23/09/2014. Mungu hatawapungukia wala kuwaacha. Tunamtukuza Bwana awezaye kutufanyia mambo ya ajabu kuliko vile tuwazavyo na tuombavyo (Efeso 3:20); tunamtukuza Mungu kwa kumtwaa Baba yetu katika uzee mwema - Marehemu ameishi miaka 100 kamili (1914 - 2014)Mbarikiwe Mungu aliye Juu na jina la Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI HUKO TUKUYU,JIJINI MBEYA

Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo (Julai 8 mwaka huu) kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Nooij amesema timu yake inafanya mazoezi kwenye maeneo ya baridi kwa sababu za kitaalamu, hivyo kambi ya Tukuyu kama ilivyokuwa ya Botswana itawasaidia kwa mechi dhidi ya Msumbiji.
Taifa Stars...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani