TASWIRA YA KARIAKOO LEO KUELEKEA SIKUKUU YA IDD EL-FITRI

Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kutafuta mahitaji kuelekea sikukuu ya kuhitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mzigo ukishushwa tayari kwa kuuzwa.
Msongamano wa magari katikati ya kariakoo jijini Dar es Salaam.
Hapa ni hatari zaidi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam maeneo ya mtaa wa Congo.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
10 years ago
GPLANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Vijimambo14 Apr
TASWIRA YA ANGA LA UPANGA,MNAZI MMOJA NA KARIAKOO MCHANA WA LEO















9 years ago
MichuziTASWIRA ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MAULID JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Tunatawakia Idd el Fitri njema
WAISLAMU nchini kesho au keshokutwa watasherehekea Sikuuu ya Idd el- Fitri ambayo husherehekewa mara baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sisi Tanzania Daima Jumapili, tunapenda kuchukua fursa hii...
11 years ago
Habarileo26 Jul
Pinda mgeni rasmi Baraza la Idd el Fitri
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Idd-el-Fitri litakalofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Muhimu Muislamu kutoa Zakkatul-Fitri siku ya Idd
NAAM; karibuni tena kwenye makala zetu za Ramadhan Special zitakazofikia ukingoni wakati wa Idd ama Alhamisi au Ijumaa wiki hii.
Leo ninapenda kumuhudhurisha Sheikh wetu Swed Ibni Twaib Swed ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Hisani na Maendeleo ya Kijamii kwa lugha ya Kiingereza ikijulikana kama Tanzania Charitable & Development Organisation (TCDO).
Sheikh Swed amewahi kuwa Katibu wa Baraza Kuu la Waisamu wa Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Singida na baadaye akapanda ngazi na...
10 years ago
GPL
BURUDANI ZA WATOTO SIKUKUU YA EID EL FITRI DAR LIVE
10 years ago
MichuziKALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA SIKUKUU YA EID FITRI NA WAGONJWA NA MAYATIMA