TASWIRAZZ YA JOGOO ALIEAMUA KUZICHAPA NA KIOO
SI JAMBO LA KAWAIDA KUONA JOGOO AKIPIGANA NA KIVULI CHAKE,LAKINI JANA JOGOO MMOJA ALIZIPIGA KWELI KWELI NA JOGOO MWENZAKE ALIYEMUONA KWENYE KIOO KATIKA JENGO LA VING'AMUZI LA ZGC ZANZIGA RAHALEO,JOGOO HUYO ALIZUA KIOJA PALE ALIPOONDOSHWA NA NA KUONA HAIWEZEKANI KWAMBA KWANINI ANAONDOLEWA WAKATI HATA HAJAMTOA DAMU JOGOO HUYO,HAPO NDIPO ALIPOAMUA KURUDI TENA KWENYE MAPAMBANO HAYO YA MWENYEWE KWA MWENYEWE.....Hapa Jogoo huyo alikuwa akikatiza katika eneo hilo na kumuona Jogoo mwengine kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTASWIRAZZ KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziTASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA MAVETERAN WA SOKA WA BARCELONA NA TANZANIA ULIOPIGWA UWANJA WA TAIFA
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Vijana wanahitaji kioo
MATUMAINI yangu ni kuwa wote ni wazima na wenye afya njema. Napenda kuwashukuru wote mnaoendelea kunitia moyo kwa kunitumia ujumbe mfupi wa maneno pamoja na wale wanaonipigia simu kutokana na...
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Samatta kioo kisichotumiwa na wachezaji wa Bongo
NYUMA ya mafanikio ya Augustine Jay Jay ‘Okocha,’ kuna jina la Binebi Numa, ambalo halijulikani n
Abdul Mkeyenge
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Kioo cha jamii ni sanaa au msanii?
10 years ago
Mwananchi14 Mar
Dk Shein kioo kipya kwa uadilifu Z’bar
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Tamasha la Pasaka liwe kioo kwa chipukizi
WAIMBAJI mbalimbali wa kimataifa wa muziki wa injili kutoka Afrika Kusini, Zambia, Kenya, DR Congo na Rwanda, mwezi ujao watakuja nchini. Ujio wao ni kupamba Tamasha la Pasaka ambalo limekuwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani
MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Nchi inapojiangalia kwenye 'Kioo Cha CCM'
MAJUZI pale Viwanja vya Furahia Mwanza, tulionyeshwa kupitia runinga, CCM ikiongozwa na Katibu wa
Maggid Mjengwa