Tata Safari ya Sh70 mil la Chomoka na Mwananchi Des 13
Zimebaki siku chache kabla ya gari jipya aina ya Tata Safari lenye thamani ya Sh70 milioni kupata mshindi katika Promosheni ya Chomoka na Mwananchi ambayo inatarajiwa kufikia kilele Desemba 13,mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tata Safari ya Chomoka yaenda Morogoro
11 years ago
TheCitizen16 Jan
Carpenter drives away in Sh70m ‘Chomoka’ car
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Sh70 bilioni kupambana na umaskini
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Seremala ashinda gari la Sh70 milioni
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Majambazi yapora Sh70 milioni Dar
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Akiri kukutwa na noti bandia Sh70,000
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mkutano Mkuu TFF Des 19
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MKUTANO Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, mwaka huu.
Kikao cha Kamati ya utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana Septemba 6 mwaka huu kimepanga kufanyika kwa mkutano huo huku ajenda zake zitatangazwa baadaye.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, alisema ajenda hizo zitatolewa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.
“Tunawataarifu wajumbe wa mkutano mkuu tarehe ya...
9 years ago
Habarileo01 Dec
Serikali yafafanua mapumziko Des 9
SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.
10 years ago
Habarileo14 Sep
Uchaguzi serikali za mitaa Des 14
KIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo.