Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seremala ashinda gari la Sh70 milioni

Fundi seremala mkazi wa Manispaa ya Morogoro, Joseph Msoffe ameibuka mshindi wa gari jipya aina ya Tata Safari lenye thamani ya Sh70 milioni kwenye droo ya mwisho ya promosheni ya Chomoka na Mwananchi iliyochezeshwa Makao Makuu ya Ofisi za Mwananchi, Tabata Relini jijini Dar es Salaam, jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yapora Sh70 milioni Dar

Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia gari ndogo aina ya Toyota Saloon na kupora fedha zinazokadiriwa kufikia Sh70 milioni.

 

11 years ago

Michuzi

Mkazi wa Bukoba ashinda milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’

 Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ iliyochezeshwa Jumanne jioni katika ofisi za makao makuu ya Airtel. Bw. Rashid Jackob Kagombola, mkazi wa Bukoba  mkoani Kagera alitangazwa mshindi wa shilingi milioni 50. Kushoto ni Mkaguzi mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania Bw. Bakari Maggid. Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akimwonyesha Mkaguzi...

 

10 years ago

Michuzi

BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kuhusiana na mshindi wa shilingi Milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Mkazi wa kilolo mkoani Iringa Bi.Uwezo Magedenge aliibuka na ushindi wa kitita hicho katika droo ya 14 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam leo,Wengine ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto) na Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kuhusiana na mshindi wa shilingi Milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Mkazi wa kilolo mkoani Iringa Bi.Uwezo Magedenge aliibuka na ushindi wa kitita hicho katika droo ya 14 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam leo,Wengine ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto) na...

 

11 years ago

Michuzi

MDAU KIZITO ASHINDA MILIONI 10 ZA 'CHAMPIONI MAHELA' AKIWA KWENYE DALADALA

BAADA ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye, mshindi wa milioni 10 amepatikana kupitia droo ya Shinda Mahela na Championi ambaye ni Kizito George Chuka.
Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao kwenye Viwanja vya Mbagala- Zakhem jana Jumanne.
Akizungumza Kizito ambaye ni makazi wa Kawe jijini Dar alipopigiwa simu na muendeshaji wa shughuli hiyo MC Chaku, mshindi huyo alikuwa ndani ya daladala hivyo hakuwa na mengi ya kuongeza zaidi ya kushukuru kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kortini wizi wa gari la milioni 60/-

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka mawili, ya wizi wa gari lenye thamani ya Sh milioni 60 na kulinda mali iliyoibwa.

 

11 years ago

Michuzi

MILIONI 80 KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA

MILIONI 80KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA
Na Denis Mlowe,Iringa
ZAIDI ya shilingi milioni 80 zinatarajia kutumika katika ununuzi wa gari ya wanafunzi wa shule ya wasichana Ifunda iliyoko katika wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Zaina Salingwa alisema hayo katika harambee iliyofanyika sambamba na mahafari ya nane ya kidato cha sita shuleni hapo kuwa kuna changamoto kubwa ya usafiri wa wanafunzi katika shule hiyo na wanatarajia kukusanya fedha hiyo kuweza...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani