Tatizo la chakula ni kubwa Somalia
Umoja wa Mataifa umeelezea viwago vya utapiamlo na hali ya usalama wa chakula nchini Somalia kama vilivyo vibaya
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Somalia:7 wauawa wakisubiri chakula cha msaada
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Tatizo la kupata haja kubwa
10 years ago
Habarileo26 Feb
‘Magonjwa ya macho ni tatizo kubwa’
WIZARA ya Afya imesema maradhi ya macho ni moja ya tatizo kubwa la afya ambalo limepewa kipaumbele na wizara hiyo ili kutoa matibabu kwa wananchi.
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Ulemavu wa kuzaliwa tatizo kubwa duniani
Watoto huchukuliwa kama taifa la kesho duniani kote hivyo basi kuwapatia huduma ya afya sahihi lazima ipewe kipaumbele . Mahitaji ya afya ya watoto ni ya kipekee sana, na ya tofauti sana ukilinganisha na watu wazima kwahiyo yanahitaji bidii sana. Mara kwa mara kumekuwepo matukio kadhaa ya kuzaliwa kabla wa wakati, uzito mdogo wa kuzaliwa, mtoto kuzaliwa na kisukari, pumu, uzito na unene uliopitiliza, watoto walioungana na kasoro nyingine nyingi. Kasoro hizi za kuzaliwa zinaripotiwa mara...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Tatizo ni kubwa ndani ya Jeshi la Polisi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wiki iliyopita limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Kwa mujibu...
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Tatizo letu ni kubwa zaidi ya CCM
MTU aliye makini ataweza kutambua haraka kwamba tatizo letu ni kubwa zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nami pia ninashawishika kufikiri kwamba tatizo si CCM, bali ni la Watanzania wote....
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E2q56SVxnZc5T46gQZVzZtTiIC-0d8mMJdzd3grrdbjBE-AnNp3yj-bSiNhKXVLZKAZaBazHLT-bSrzC47ussDv5MeXzx6A1/msosi.jpg)
KUNA TATIZO KUBWA KWENYE VYAKULA VYETU
10 years ago
Habarileo06 Jan
Tatizo la watoto kuungua bado kubwa nchini
TATIZO la watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuungua, limetajwa kuwa kubwa, kutokana na kile kilichoelezwa ni uzembe wa ama wazazi au walezi.