Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulemavu wa kuzaliwa tatizo kubwa duniani

Apollo-children-Swahili

Watoto huchukuliwa kama taifa la kesho duniani kote  hivyo  basi kuwapatia huduma ya afya sahihi lazima ipewe kipaumbele . Mahitaji ya afya ya watoto ni ya kipekee sana, na ya tofauti sana ukilinganisha na watu wazima kwahiyo yanahitaji  bidii sana. Mara kwa mara kumekuwepo matukio kadhaa ya kuzaliwa kabla wa wakati, uzito mdogo wa kuzaliwa, mtoto kuzaliwa na kisukari, pumu, uzito na unene uliopitiliza, watoto walioungana  na kasoro nyingine nyingi. Kasoro hizi za kuzaliwa zinaripotiwa mara...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WALEMAVU KILIMANJARO WAADHIMISHA SIKU YA WENYE ULEMAVU DUNIANI

Kwaya ya wanafunzi kutoka shule ya msingi Mweleni ikiingia uwanjani kutumbuiza wakati wa siku ya watu wenye ulemavu dunia ambayo maadhimisho yake kwa mkoa wa Kilimanjaro yamefanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya watu wenye ulemavu wakifurahia nyimbo iliyokua ikiimbwa na kikundi cha shule ya msingi Mweleni(hakipo pichani)Mgeni rasmi katika siku ya Wenye ulemavu duniani  afande Grace Lyimo akiwa na viongozi wengine meza kuu wakati wa maadhimisho ya siku hiyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tatizo la chakula ni kubwa Somalia

Umoja wa Mataifa umeelezea viwago vya utapiamlo na hali ya usalama wa chakula nchini Somalia kama vilivyo vibaya

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la kupata haja kubwa

Ni tatizo linalokua kwa kasi kwa sasa kutokana na mfumo wa maisha yasiyokuwa na mazoezi ya kutosha, vyakula vya kisasa na kuacha vya asili na pia kuongezeka kwa magonjwa katika jamii mfano kisukari, kiharusi na kadhalika.

 

10 years ago

Habarileo

‘Magonjwa ya macho ni tatizo kubwa’

WIZARA ya Afya imesema maradhi ya macho ni moja ya tatizo kubwa la afya ambalo limepewa kipaumbele na wizara hiyo ili kutoa matibabu kwa wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia SimbaWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo letu ni kubwa zaidi ya CCM

MTU aliye makini ataweza kutambua haraka kwamba tatizo letu ni kubwa zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nami pia ninashawishika kufikiri kwamba tatizo si CCM, bali ni la Watanzania wote....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo ni kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wiki iliyopita  limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Kwa mujibu...

 

10 years ago

GPL

KUNA TATIZO KUBWA KWENYE VYAKULA VYETU

Miongo mitatu iliyopita (miaka 30), vyakula vingi vilivyopatikana kwa chakula cha binadamu vilikuwa vibichi na vitokanavyo na mazao yaliyovunwa kutokana na kilimo cha asili. Lakini hivi sasa hali imebadilika, idadi kubwa ya vyakula tunavyokula, iwe nyumbani, migahawani au shuleni, siyo vyakula vibichi na asilia, bali vingi ni vya kutengeneza na kuhifadhiwa kwa muda mrefu, huku vikiwekwa sukari ama chumvi nyingi. Kutokana na...

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la watoto kuungua bado kubwa nchini

TATIZO la watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuungua, limetajwa kuwa kubwa, kutokana na kile kilichoelezwa ni uzembe wa ama wazazi au walezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani