Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATO yaipa Polisi Arusha pikipiki 15

CHAMA cha Mawakala wa Utalii Tanzania (TATO) jana kimetoa pikipiki 15 zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 27 kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tato yaongeza kasi Jeshi la Polisi

CHAMA cha Waongoza Watalii Tanzania (TATO) kimetoa msaada wa pikipiki 15 kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za jeshi  hilo  kupambana na wahalifu...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete akabidhi msaada wa pikipiki Arusha

RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi msaada wa pikipiki 10 kwa chama cha Akiba na Mikopo cha Waendesha Pikipiki katika Jiji la Arusha (UWAPA SACCOS), zenye thamani ya Sh milioni 15.9.

 

10 years ago

Michuzi

MAKATIBU WAPEWA PIKIPIKI NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA ARUSHA

SAM_3542Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki  Mh.Bernard Murunya amabye alikuwa mgeni rasmi katika tukio la kukabidhi pikipiki,akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana katika makao makuu ya chama  hicho jijini Arusha, jumla ya pikipiki saba zilikabidhiwa kwa Wilaya saba katika Mkoa wa Arusha huku Mwenyekiti wa Taifa  Abdalah Bulembo pamoja Baraza kuu Taifa wakifanya jitihada za kupatikana kwa Pikipiki...

 

11 years ago

GPL

KIBAKA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUIBA PIKIPIKI

Kijana aliyenusurika kufa akiwa na Kamishna Suleiman Kova mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). …Akiwa amesimama kwa ‘unyenyekevu’.…

 

11 years ago

GPL

MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI

Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki.
Askari katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao...

 

5 years ago

CCM Blog

POLISI TANZANIA WAKAMATA MAGARI YA WIZI 130 NA PIKIPIKI 193

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekamata magari 130, pikipiki 193, vipuri mbalimbali vya magari na pikipiki 753 katika operesheni iliyoendeshwa nchi nzima.
Akizungumza leo Jumamosi Machi 28, 2020 Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI) Robert Boaz amesema wanawahoji watuhumiwa 128 na pindi upelelezi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake.

“Wanunuzi wa magari yaliyotumika ni muhimu kabla ya kununua wajiridhishe muuzaji ni mmiliki halali kwa kutumia polisi kukagua gari hilo na...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA MAGARI 20 NA PIKIPIKI 40 KUTOKA SERIKALI YA SAUD ARABIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe, (katikati) Mwakilishi wa Balozi wa Saud Arabia, pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu, wakitiliana sahihi moja kati ya Hati za makabidhiano ya magari 20 aina ya Toyota Land Cruiser pamoja na pikipiki 40 vilivyotolewa na serikali ya Saud Arabia, vitendeakazi ambavyo vitasaidia katika kuongeza kasi na ufanisi katika kupambana na matukio ya uhalifu na wahalifu.(picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi ).

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI PIKIPIKI TANO KWA JESHI LA POLISI — DODOMA

Benki ya NMB jana ilikabidhi pikipiki 5 aina ya Honda kwa jeshi la polisi kwaajili ya kusaidia kazi za kila siku za jeshi hilo katika hafla iliyofanyika nje ya ukumbi wa St. Gasper katika mkutano wa maafisa wa polisi unaoendelea mjini hapa.
Pikipiki hizo zilizokabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh Mathias Chikawe na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, zina thamani ya shilingi Milioni 10.
Waziri Chikawe alishukuru NMB kwa kuona umuhimu wa kusaidia jeshi la polisi na hivyo kuwataka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani