Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazama picha ambazo hujaziona kutoka kwenye show ya Diamond, Rwanda

Diamond Platnumz amefanikiwa kupiga show ya kufa mtu jijini Kigali katika siku ya mwaka mpya, January 1. Diamond alitumbuiza na live band na alipewa support na muimbaji wa Yamoto Band, Aslay. Kwenye show hiyo, Diamond alisindikizwa na wasanii wakubwa wa huko wakiwemo King James, Urban Boyz, Jay Polly na Knowles. Hizi ni picha za show […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)

Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA PICHA DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOFUNIKA KWENYE VIBE PARTY RWANDA PROJECT YAKE YAENDELEA KUFUNIKA

Usiku wa mkesha wa mwaka mpya Diamond Platnumz amefanya yake katika Vibe Party huko jijini Kigali, Rwanda akiambatana na mpenzi wake mpya Zarinah aka thebosslady kutoka Uganda pamoja na timu nzima ya wasafi na mameneja wake. ALICHOKIANDIKA Diamond dakika chache zilizopita!Hii ilikuwa ni Vibe Party tu ya kusalimiana jana... dah! Nawashukuru sana Rwanda kwa Mapenzi yenu kwangu...najiuliza sijui leo kwenye show itakuwaje pale kwenye Uwanja wa Amahoro.. 

( Imagine that was jus, meet and Greet...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: TAZAMA PICHA 37 ZA YALIYOJIRI KWENYE "ZARI ALL WHITE PARTY"

Tweet





Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo

Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.

Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi



DSC_2862IMG_4432DSC_2512IMG_4344DSC_2824IMG_4407DSC_2765IMG_4299
.IMG_4300IMG_4304
Khamis DakotaIMG_4306
.IMG_4307
IMG_4313
.IMG_4325IMG_4347DSC_3307WCB IIWCB IIIDSC_2777DSC_2788DSC_2803DSC_2837DSC_2821DSC_2859DSC_2862DSC_2592DSC_2869DSC_3131DSC_2713



Source : www.globalpublishers.info               www.millardayo.com

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amesusia tuzo za 2015 MTV Europe Music Awards (MTV EMA) kutokana na kuhisi kuwa hajatendewa haki. Jumanne Sept 8, MTV walitangaza majina ya nominees 4 wa kipengele cha ‘Best African Act’ akiwemo Diamond Platnumz, na ikabaki nafasi ya msanii mmoja ambayo waliweka majina ya wasanii watano wapigiwe kura kupata […]

 

9 years ago

Bongo5

Tazama picha za kuvutia za Beyonce kwenye jarida la Beat

Beyonce amekava jarida la Beat litakalotoka Jumatano hii. Hizi ni picha zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani