T.B JOSHUA ATUA DAR KUSHUHUDIA KUAPISHWA DK. MAGUFULI

Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli alimpokea Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua Uwanja wa ndege Dar jioni hii. Mhubiri huyo aliyekuja na watu 40 kwa ndege yake mwenyewe, amekuja kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa. Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli wakibadilishana mawazo na Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua mara baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWS: TB JOSHUA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA DKT MAGUFULI AKIAPISHWA
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Mhubiri maarufu duniani TB Joshua Wa Nigeria atua Dar Es Salaam kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa
Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.
Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua...
10 years ago
Mwananchi04 Nov
TB Joshua, marais wanane Afrika kushuhudia kuapishwa Magufuli
9 years ago
GPL
TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA, MAGUFULI AKIAPISHWA DAR
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Mazoezi ya kuapishwa kuwa Rais Dk Magufuli yapamba moto Dar
Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli...
10 years ago
GPL
MAZOEZI YA KUAPISHWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO DAR
10 years ago
MichuziMAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA



5 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.

