TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA, MAGUFULI AKIAPISHWA DAR

HATIMAYE, Mwangalizi Mkuu wa Kanisa la Scoan (Synagogue Church of All Nations), Mtume na Nabii Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ ametua Bongo juzi akitokea nchini Nigeria, maalum kumshuhudia Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiapishwa leo. Mchungaji ‘TB Joshua’ akisalimiana na rais Kikwete. TB Joshua aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Mhubiri maarufu duniani TB Joshua Wa Nigeria atua Dar Es Salaam kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa
Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.
Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWS: TB JOSHUA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA DKT MAGUFULI AKIAPISHWA
10 years ago
BBCSwahili04 Nov
Mhubiri kutoka Nigeria kushuhudia Magufuli akiapishwa
10 years ago
GPL
T.B JOSHUA ATUA DAR KUSHUHUDIA KUAPISHWA DK. MAGUFULI
9 years ago
Bongo506 Nov
Museveni, Kagame na Mugabe walijisikiaje kuhudhuria Magufuli akiapishwa?

Watu wengi tumekuwa tukifikiri kwamba kwanini Marais hawa hawaoni aibu pale ambapo wenzao wanaoingia madarakani na kuondoka wao wakiwa wamebakia palepale kwenye hayo madaraka?
Inawezekana wamekuwa wanafunzi ambao hawawezi kuelewa somo wakidhani ya kuwa wao ni marais wa kudumu kwenye nchi zao. Kitu kingine ambacho inawezekana hawaelewi kwanini Tanzania marais wanaondoka madarakani bila kuwa ving’anga’nizi kama wao?
Viongozi hawa wameshindwa kutengeneza mfumo wa kuwawezesha wengine kuweza...
9 years ago
IPPmedia06 Nov
Nigeria's Prophet TB Joshua and his Tanzania tour
IPPmedia
IPPmedia
NIGERIAN preacher Prophet Temitope Balogun Joshua, popularly known as TB Joshua, is among the scores of high-profile world leaders now in Tanzania to witness today's swearing-in of President-elect Dr John Magufuli in Dar es Salaam. The man of God ...
TB Joshua visits Tanzania; welcomed by elected presidentGhanaWeb
all 2
10 years ago
Mtanzania04 Nov
T.B Joshua awafuata Magufuli, Lowassa
*Atua na msafara wa watu 40
*Afanya nao mazungumzo kwa nyakati tofauti
*Ateta pia na Rais Jakaya Kikwete
*Mugabe, Kagame, Kabila kutua nchini
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WAKATI maandalizi ya kuapishwa Rais mteule Dk. John Magufuli kesho yakiendelea, taifa limeanza kupokea wageni baada ya muhubiri maarufu duniani wa Kanisa la Church of All Nations la nchini Nigeria, T.B Joshua kuwasili jana mchana akiwa na msafara wa watu 40.
Muhubiri huyo aliyewasili Dar es Salaam jana mchana...
10 years ago
Vijimambo
PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA

Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!!


10 years ago
Mwananchi04 Nov
TB Joshua, marais wanane Afrika kushuhudia kuapishwa Magufuli